Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,791
WanaJF, ni kweli shetani ni mwanamke? Kama c mwanamke basi,shetani anapenda kuwatumia wanawake, kwenye maovu mengi... Kwa mfano nyoka (shetani) alimdanganya HAWA. Hawa naye akamdanganya Adam,akala tunda la mti waliokatazwa na mungu. Delila (mwanamke huyo) akitumiwa na wafilisti, baada ya kumhadaa SAMSON,na kujua siri ya nywele za samson alitoa siri kwa wafilisti, wakafanikiwa kumkamata na kumtoboa macho. Mke wa Ayubu( mwanamke huyo) baada ya Ayubu kupoteza mali,zake na watoto wake alimwambia "si umkufuru mungu tu ukafe..angalia kwa sasa wanawake wanavyovaa nguo za ajabu, wanatembea nusu uchi, wanafanya biashara ya ngono. Kwa kweli wanamambo ya hovyo sana,na mengi ni chukizo wa mungu. Je huku c kutumiwa na shetani?
Mh! Mwanamke, mwanamke! Unadhani Adam angemtii Mungu km alivyoambiwa angeleta dhahama hii? Je Samsoni angesimama kwa nafasi yake akaresist temptation yangemkuta yaliyomkuta? Ayoub ni mfano mzuri, aliresist, akasimama ktk nafasi yake na mwisho wake ulikuwa mzuri. So makosa au ushetani sio wa wanawake bali ni ya hao wanaume as we have seen wakiweza kuzishinda tamaa na vishawishi then mambo yananyooka. WANAUME NI CHACHU YA KUPUNGUZA AU KUONDOA UOVU DUNIANI na sio wanawake so Shetani ni mwanaume km unabisha......bisha!
ni mtazamo tu na maono ya historia.................hata mwanaume anaeza kua shetani vilevile
mkuu ni wapi shetani amejaribu kumtumia mwanaume? Alijaribu kwa Yesu akashindwa. Mwanamke anaweza asiwe shetani,lakini akatumiwa na shetani.