'Shetani' Mtanashati na Amri Kuu 10

Duh! We jamaa the bold hebu tuingie Hollwood tukafanye movie,inawezekana ukawa na upeo wa kuandika filamu kama kina Merry Gibson.hata kama uletacho hapa unakitoa mahala lakini unakua upo vizuri,hebu mcheki Anord au Donnie Yen twenzetu Hollwood tukafanye yetu,ila naomba mimi niwe staring wa picha
 
Mkuu The bold huniangushagi. Unandika story kwa ufasaha na umarudadi mkubwa kiasi kwamba hakuna mwingine ataielezea kwa namna nzuri na ya kupendeza kama ww. Hongera sana.

Cc scorpio me njoo bae tusome story za Mtaalam
 
Hahaha! Inabidi tuingie Hollywood tuwaandalie nondo kali.. Picha la kivita, lina masongi ya kihindi, adui van dame, steringi G'taxi
 
Mkuu The bold huniangushagi. Unandika story kwa ufasaha na umarudadi mkubwa kiasi kwamba hakuna mwingine ataielezea kwa namna nzuri na ya kupendeza kama ww. Hongera sana.

Cc scorpio me njoo bae tusome story za Mtaalam

Nashukuru sana Mkuu Compact
Naona umemualika na mbebez, shem letu aje ainjoy! Safi sana Mkuu.. Naipendaga sana kapo yenu, kama mapacha vile
 
emoji1.png
Mkuu sisi tunakaa na kuanza kusoma story zako huku kila mmoja akijitahidi amalize kabla ya mwenzake,alafu atayemaliza mapema aanze kumuelezea mwingine kwa usahihi. Ukikosea credits zinahamia kwa mwingine maana itakua umesoma kwa wenge alimradi kumaliza.

Mpaka sasa nishapigwa KO tatu ila nami najisifu nimempiga moja takatifu ya Cooper.
Hakika hata akinipiga zingine zilizobaki najivunia kushinda pambano la Kihistoria.

Utukumbuke kwenye tag list yako Mkuu.
 
Hahahaha daaaaahh aisee ndio maana nasema nyinyi ni kama mapacha yani
Nimeipenda sana hiyo..

Ila unaniangusha Mkuu, mtoto mzuri amekupiga KO nyingi hivyo hahahaha, itabidi nikiweka uzi niwe nakushtua haraka haraka kimya kimya ili uwe unamuwahi!! ingawa KO ya Cooper uliyompiga ni hatariiiiii..

Bila shaka Mkuu, nawaongeza kwenye tag list
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom