'Shetani' Mtanashati na amri kuu 10

Dah..nimecheka mtaalam Poisson alipouziwa mnara wa serikali.

Hivyo The Bold ndio kusema hawa wapigaji daraja la kwanza hawazaliwi Africa?
Mbona hata bongo watu waliuziwa sana makanisa na jamatini miaka ile sema kiwango cha wabongo kipo chini ila upigaji wanapiga
 
Daaaah hiki kisa inabidi nipate lunch kwanza nishibe,wakati wa kushushia juice ndio nikisome taratibu kwa utulivu kabisa.
Weekend lazima iwe mororo [emoji39]
Shukraan
Duuuh! Upo mkuu? Siku nyingi Sana sijakusikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…