Shetani hakumdanganya Eva/Hawa

Shetani hakumdanganya Eva/Hawa

Soma uzi kwa umakini na vifungu nilivyonukuu utaona moja ya miongoni ya miti ya matunda waliokatazwa ni mti wa ujuzi wa mema na mabaya pamoja na mti wa uzima.

Adam na Hawa walifanikiwa kula tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya wakapata maarifa ya kujua mema na mabaya, hata Mungu mwenyewe anakubali. Mwanzo 3:22-24

Adam na Hawa hawakufanikiwa kula tunda la mti wa uzima mana Mungu aliwahi kuwafukuza kabla hawajala. Endapo wangekula maneno ya nyoka yangetimia. Mungu mwenyewe anathibitisha hapohapo mwanzo 3:22-24.
Onyesha uongo wa shetani kwa kujikita katika mada.

Ukisoma siku zote soma Kwa tafakuri na ufahamu.
Walikatazwa kutokula matunda ya mti mmoja tuu ambao ni mti wa ujuzi wa Mema na mabaya.

Embu soma Hii Aya vizuri
Mwanzo 2:
17lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.”

Hakusema matunda ya miti iliyokuwepo katikati ya Bustani, kisha aitaje, nop! Bali Kasema matunda ya MTI.

Huo mti WA uzima hawajakatazwa kuula, sema walikuwa haujui.
 
Alafu amri ya kutokula tunda Ipo Sura ya 2. Sio ya Kwanza.

Ukisoma usisome kikasuku
 
Poa! Na kama ni mweza ya yote, anamuwezesha shetani kufanya maovu duniani. Huenda Mungu ni kama kinyonga, wakati mwingine ni shetani.
 
Poa! Na kama ni mweza ya yote, anamuwezesha shetani kufanya maovu duniani. Huenda Mungu ni kama kinyonga, wakati mwingine ni shetani.

kumuelewa Mungu n ngumu kijana,nakusihi nenda milimani ukasali utapata mwanga
 
Kusoma biblia kikasuku unaweza kuchanganyikiwa au kutaka kusafiri bila paspoti.
Sahihi
Swala la kujua mema na mabaya alishawaeleza.mbona

Walijua fika kuwa ukila mti.wa katikati kuna mabaya yatakukuta kuna kitu.kibaya kinaishi pale.Walipoenda Eva alikutana nacho na walipokula mabaya yakaanza

Mungu ndie alikuwa wa kwanza kuwafundisha
 
Jamaa someni kwa kuelewa na si kufuata nadharia za watu wengine.

Katika mwanzo 3:22-24 Mungu mwenyewe anathibitisha we ni nani mpaka upinge? Kuhusu kuwa kama Mungu, Mungu alisema mtu huyu amekuwa kama mmoja wetu(Mungu na wenzake) na kuhusu kufa, Mungu ndiye aliyeingilia kati kabla ya kitendo cha kula tunda la mti wa uzima hakijafanyika, kwa maana wangekula wasingekufa.

Ila tunda la mti wa ujuzi walikula ndo maana wakajua mema na mabaya, Mungu akachukia akawahi wasile tunda la mti wa uzima wakaishi milele.

Mwanzo 22-24 inasema hivi; nanukuu

"22 Bwana Mungu akasema, Basi huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu,kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima,akala akaishi milele; ²³ kwa hiyo Bwana Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa: ²⁴ Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka makerubi upande wa mashariki mwa bustani ya Edeni na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima."

Kama na hapa usipoelewa basi samahani.
... kwani waliamriwa wasile matunda ya miti mingapi? Labda tuanzie hapo!

Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani; lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.”, Mwa 2:16-17
 
Ukisoma siku zote soma Kwa tafakuri na ufahamu.
Walikatazwa kutokula matunda ya mti mmoja tuu ambao ni mti wa ujuzi wa Mema na mabaya.

Embu soma Hii Aya vizuri
Mwanzo 2:
17lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.”

Hakusema matunda ya miti iliyokuwepo katikati ya Bustani, kisha aitaje, nop! Bali Kasema matunda ya MTI.

Huo mti WA uzima hawajakatazwa kuula, sema walikuwa haujui.
Vizuri, hujajibu kikasuku, umejibu hoja kwa hoja na kwa kuweka uthibitisho. Big up

Sasa hawa wanaoambiwa na wachungaji wao wafunge wasile mpaka kufa ili wakamwone Yesu na wanatii huwa ni Imani au ujinga?
 
Katika Qu'ran hakuna sehemu ambaya inasema Shatani alimshawishi Hawa wala kutoa lawama moja kuwa Moja kuwa Hawa kama ndio chanzo cha matatizo.

Muislamu kuamini kwamba Hawa ndio chanzo cha matatizo hiyo dhana haina dalili zenye nguvu.
 
Adamu na Hawa wako wapi saivi ????

Jibu ni walikufa wakazikwa.

Sasa Mungu alisema kweli kuwa hakika utakufa au la ?
 
... kwani waliamriwa wasile matunda ya miti mingapi? Labda tuanzie hapo!

Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani; lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.”, Mwa 2:16-17
Good, Hapa umesoma kwa uelewa na kunijibu kwa hoja yenye nguvu. Waumini wote wakiwa hivi hakuna muumini atakayedanganywa na viongozi wa dini. Sijui wafunge mpaka kufa eti wakamwone yesu.
 
Good, Hapa umesoma kwa uelewa na kunijibu kwa hoja yenye nguvu. Waumini wote wakiwa hivi hakuna muumini atakayedanganywa na viongozi wa dini. Sijui wafunge mpaka kufa eti wakamwone yesu.
... sasa thibitisha hoja yako kwamba Shetani hakumdanganya Eva/Hawa.
 
Walivyotuletea hizi dini walisema shetani ni nani? Picha ya Yesu au malaika ni nyeupe Ila picha ya shetani ni nyeusi kama mkaa, na jitu la kutisha. Walimaanisha nini? Katika ubatizo, kumbatiza Mwafrika walisema hivi" Kama kweli wewe ni binadamu ninakubatiza kwa kina la Baba ..."
 
Nimemisi cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu
 
Shetani na Mungu ni dhana za kufikirika imaginations just an illusion. Hazipo

Ndio maana dhana hizi mbili zina mkanganyiko mkubwa sana (Contradictions) wa kila mtu kujaribu kuelezea anavyo zielewa.
 
Back
Top Bottom