chadema ukitaka kufa tangaza nia ya kugombea uenyekitianayeweka watu kwenye viroba ni chadema ?
chadema ukitaka kufa tangaza nia ya kugombea uenyekitianayeweka watu kwenye viroba ni chadema ?
Too quick to involve God!!!Mipango yoyote ile inayopangwa na mawakala wa shetani dhidi ya ustawi wa Demokrasia nchini Tanzania haitafanikiwa , Mungu siyo fala na anaona kwa macho yake kinachofanyika nchini Tanzania .
Baada ya utafiti wa Twaweza kuonyesha poromoko kubwa sana la Dr Magufuli , kutoka kukubalika kwa 96% hadi kiwango cha aibu cha 55% juhudi zilizosimamishwa za ununuzi wa binadamu baada ya karipio kali la Maaskofu zimerejeshwa tena kwa kasi ili kujaribu kuziba ombwe la kukataliwa na wananchi.
Labda niwakumbushe wadau wa demokrasia nchini , haya mambo hayakuanza leo na hakuna mahali uchafu huu ulifanikiwa , Chama cha KANU nchini Kenya kabla hakijakufa na kuoza kilinunua kila kiliyemtaka kutoka upinzani , akiwemo msaliti Raila Odinga ambaye alipewa cheo cha Katibu Mkuu wa KANU , Leo KANU iko wapi ? Demokrasia ni mpango wa Mungu mwenyewe aliouweka ili kupokezana madaraka ya nchi , hakuna mtu yeyote atakayeondoa hii na akafanikiwa.
Njama yoyote ya kishetani dhidi ya Mipango halali ya Mungu haitafanikiwa .
God is every where any timeToo quick to involve God!!!
Maumivu yanakubalika tu'' Mungu sio Fala" hii kauli ni ya kishetani. huwezi kumlinganisha Mungu na Lugha za Kuudhi. hoja nyingine ziendelee ila hicho kipengele kimejaa ukakasi.
Nani aliyekwambja Mungu anapenda uongozi wa kifalme. Mungu gani huyo ,maana kilamtu ana Mungu wake.Mkuu kabla ya kumuhusisha MUNGU na "demokrasia" kwanza unapaswa kujua ni utaratibu upi wa kiutawala ambao MUNGU anaupenda. Utaratibu unapendwa na MUNGU ni wa Kifalme na sio demokrasia. Kama hujui, demokrasia ni utaratibu wa Shetani ili kuleta mitafaruku na mivurugano katika jamii.
Usimsingizie MUNGU ili kuhalalisha hoja yako mkuu.
jikite kwenye madaHivi Nyalandu mlomnunua bei gani?
Kwani mada si inahusu ununuzi au?jikite kwenye mada
nani kakuambia Nyalandu alinunuliwa ?Kwani mada si inahusu ununuzi au?
Kwani nyie mnatumia vigezo gani kudai Mwita na baadhi ya Madiwani walinunuliwa?nani kakuambia Nyalandu alinunuliwa ?
Sasa wewe nani alikuambia Mwita alinunuliwa?nani kakuambia Nyalandu alinunuliwa ?
kipi hukijui kuhusu bei ya Waitara ?Sasa wewe nani alikuambia Mwita alinunuliwa?
Huyu mheshimiwa atakuwa aliandika huu uzi akiwa na kilevi ndani ya kichwa chake. Mahaba kwa CHADEMA yamemjaa kiasi cha kushindwa kukiangalia chama chake ni wapi kinakosea.'' Mungu sio Fala" hii kauli ni ya kishetani. huwezi kumlinganisha Mungu na Lugha za Kuudhi. hoja nyingine ziendelee ila hicho kipengele kimejaa ukakasi.
Unajua bali umepofushwa !Huyu mheshimiwa atakuwa aliandika huu uzi akiwa na kilevi ndani ya kichwa chake. Mahaba kwa CHADEMA yamemjaa kiasi cha kushindwa kukiangalia chama chake ni wapi kinakosea.
Huwezi kumlinganisha Mungu na neno fala. Labda kama wakati unaandika ulikuwa umelewa.Unajua bali umepofushwa !