Shetani Hajawahi kumshinda Mungu hata mara moja

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,113
Reaction score
285,861
Mipango yoyote ile inayopangwa na mawakala wa shetani dhidi ya ustawi wa Demokrasia nchini Tanzania haitafanikiwa , Mungu siyo fala na anaona kwa macho yake kinachofanyika nchini Tanzania .

Baada ya utafiti wa Twaweza kuonyesha poromoko kubwa sana la Dr Magufuli , kutoka kukubalika kwa 96% hadi kiwango cha aibu cha 55% juhudi zilizosimamishwa za ununuzi wa binadamu baada ya karipio kali la Maaskofu zimerejeshwa tena kwa kasi ili kujaribu kuziba ombwe la kukataliwa na wananchi.

Labda niwakumbushe wadau wa demokrasia nchini , haya mambo hayakuanza leo na hakuna mahali uchafu huu ulifanikiwa , Chama cha KANU nchini Kenya kabla hakijakufa na kuoza kilinunua kila kiliyemtaka kutoka upinzani , akiwemo msaliti Raila Odinga ambaye alipewa cheo cha Katibu Mkuu wa KANU , Leo KANU iko wapi ? Demokrasia ni mpango wa Mungu mwenyewe aliouweka ili kupokezana madaraka ya nchi , hakuna mtu yeyote atakayeondoa hii na akafanikiwa.

Njama yoyote ya kishetani dhidi ya Mipango halali ya Mungu haitafanikiwa .
 
Hata hao wanaonunuliwa inabidi wakapimwe akili. Biashara ya binadamu ilishapigwa marufuku, iweje irudi tena kwa kasi ya ajabu?
 
Mipango yoyote ile inayopangwa na mawakala wa shetani dhidi ya ustawi wa Demokrasia nchini Tanzania haitafanikiwa , Mungu siyo fala na anaona kwa macho yake kinachofanyika nchini Tanzania .
Mkuu kabla ya kumuhusisha MUNGU na "demokrasia" kwanza unapaswa kujua ni utaratibu upi wa kiutawala ambao MUNGU anaupenda. Utaratibu unapendwa na MUNGU ni wa Kifalme na sio demokrasia. Kama hujui, demokrasia ni utaratibu wa Shetani ili kuleta mitafaruku na mivurugano katika jamii.

Usimsingizie MUNGU ili kuhalalisha hoja yako mkuu.
 
Huna lolote
 
Kuna mambo yanafanywa na watu wazima mpaka mtu unashangaa. Unanunua watu ili uonekane unakubalika halafu unatumia mabilioni kufanya chaguzi za marudiano ambazo na zenyewe zinavurugwa makusudi ili uliowanunua washinde. Dah! Unachezea fedha huku watu masikini wanaumia, unaona sawa!
 
Kuna watu watakuja kufungwa kifungo kibaya sana !
 
Chadema yanafika bei kirahisi kweli haya majama.
 
Inategemea na Mungu yupi unaemzungumzia.
Mungu wa chadema ni kuhubiri damu kumwagika na maaandamano,na Kuna watu Mungu wao ni njiwa,huyo shetani si anaponda ponda huyo njiwa
 
anayeweka watu kwenye viroba ni chadema ?
 
Kuna mambo yanafanywa na watu wazima mpaka mtu unashangaa. Unanunua watu ili uonekane unakubalika halafu unatumia mabilioni kufanya chaguzi za marudiano ambazo na zenyewe zinavurugwa makusudi ili uliowanunua washinde. Dah! Unachezea fedha huku watu masikini wanaumia, unaona sawa!
Sawa na kubana matumizi kwenye vitu vyenye tija,( training,vikao,semina,nk)then unazitumia kwa visivyo na tija.
 
'' Mungu sio Fala" hii kauli ni ya kishetani. huwezi kumlinganisha Mungu na Lugha za Kuudhi. hoja nyingine ziendelee ila hicho kipengele kimejaa ukakasi.
 
Back
Top Bottom