Sehemu ya 9
hahaha jinni yule wa kizungu alicheka na kusema, sasa unajua utakipataje hiko kibuyu ulisahau kukinenea , kweli nilinena kwenye upembe kwamba damu ya sadaka ijazwe ndani ya kibuyu akasema ila bado unalakufanya nifanye nini? niliuliza maana kichwa kilikuwa kinavibrate kwa hofu ya kupoteza kile kibuyu
Kwani siulipewa irizi zitumie sasa, nizitumiaje??? nuwia mara saba ukiupa bahari mgongo
mara bro unaongea na nani?
aaa hamna kwani ninaongea kwa sauti, yule mtu hakujibu ila alijiondokea zake
kweli nilishika kwapa (kuna namna nikishika na kupindisha miguu napotea kwenye macho ya watu) kisha niligeuka na kunuwia nikitaka kile kibuyu kija chenyewe pale nilipo baada ya kumaliza nilifunga macho na kugeuka nilipofungua kweli kibuyu kilikuja kikavu hakina hata tone la maji na ule upembe ukiwa umekatika katikati japo haukuachana
niliubeba mpaka nyumbani na kuwaza dah, nini kinetokea kwenye upembe huu, ila kwakua kibuyu kilikua na damu niliamua kutenga chumba na kuweka kila kibuyu
nilipata maelekezi ya kwamba ninunue begi kubwa na niweke mzizi wa mbaazi ndani yake, vyote pamoja na upembe nivitunze kwenye chumba pia chini niweke zulia jeusi
nikafanya hivyo na baada tu ya kuweka damu iliisha na pesa niliziona, ila hazikuwa nyingi sana
nilihesabu na kujua ni laki 2, aa nilitoka na kwenda sebleni nikiwaza aaa mbona pesa ni chache sasa, mara nasikia sauti kwenye chumba ikisema, Njoo unijibu njoo
kweli nilikimbia mpaka ndani ya chumba, ndipo nilipomkuta mwanaume tu, nilijua alikuwa ni yule shetani baba yangu, alivalia vizuri(official) suti na kiatu cha kaki
akasema ni muda sijaja ila mimi kila ijumaa ya wiki hujigeuza mtu na kuzurura duniani twende nami tusafishe macho
kweli nilitoka nae yeye alikaa sebleni nikaoga kisha, nikavaa zangu nikatoka hao tukadandia taxi mpaka nightclub moja tabata
aliagiza pombe zakutosha(konyagi, castle lite) mimi sikuwa mnywaji kabisa, niliagiza fanta alikunywaa ila sikuona dalili ya kulewa, baada ya kimya alisema unajua mimi ninaweza gawa pesa ulimweguni kote bure, ila mimi kwangu lazima zirudi kwa faida lazima zirudi kwangu, watu wote hawa wananiunga mkono
akasema ninda uchukue mwanamke yeyote pale na ukalale naye, kipindi nawaza yeye alinyanyuka na kudaka malaya mmoja na kutokomea lodge
niliwaza kwamba ndio baba kashanitupa sina hata pesa ya kulipa huyo demu, mara yule jini nilimwona nje ya bar kwa mbali, akisema kwa nguvu unazubaa nini wewe kapeli pesa ziko mifukoni mwako
nilinyanyuka na kwenda kwa dada mmoja na kumwambia nataka ukanipooze akasema laki na nusu, nikamwambia twende tukaenda mapokezi na kununua room nikapewa na funguo ile kuzama room tu, khaa nisimkute yule bwana akiwa kwenye shughuli, nilizubaa sana na wala hakunigeukia, yule demu oyaa unashangaa nini wewe?
mh kwani yeye haoni au? na mbona mhudumu kanipa room yenye mtu?
ITAENDELEA