Shetani ana uwezo mkubwa sana

Chanzo cha vyote, kwa vitu gani?

Nani kakuambia chanzo lazima kiwe Mungu?
Narudia,wewe ni chumvi iliyo haribika,hakuna sababu ya kuendeleza dialogue na wewe.Endelea na imani yako na mimi niendelee na yangu,time will tell who is right.
 
Yule kiboko pata picha ilikuaje mungu amfukuze tu bila kummaliza alivoomba madaraka wazi wazi akasema nenda tu duniani

Sawa na nyamwilu(nyoka kubwa jeusi) aingie chumbani kwenu na mkeo(strong room mnakotaftia watoto kuzalia hosipitali au njiani unavokimbizwa machela dispensari) harafu unambembeleza aende chumba Cha watoto eti watapambanaga hukohuko

Uchizi mkubwa kabisa hapa mungu alitukosea afanye hima kuja kutuomba radhi Kuna vipimo Ila sio Cha RUSIFA

RUSIFA shetani Hana tofauti Sana na tuntemeke sanga kwa babu yetu nyerere(kwenda ofisini kwamtu mzima Kama nyerere nakumwambia father nchi imekushinda naomba nishike hatamu mwenyewe ,sio kazi ndogo
 
shetani ni tulizo la maskini duniani na matajiri
 
Mwambieni yesu arudi ili aeleweka lasivyo haeleweki uongo sio mzuri mr sheeeee
 
Mwambieni yesu arudi ili aeleweka lasivyo haeleweki uongo sio mzuri mr sheeeee
Hiki ni kiburi cha uzima,Ila pamoja na yote haya,Bwana Yesu bado anakupenda.

Niseme hivii,Bwana Yesu anaeleweka sana,na sisi tunamuelewa sana.Sasa akirudi leo watu kama ninyi si mtaachwa?He is buying time,ili wewe uweze kuokolewa.Hachelewi kama wewe unavyodhani.
 
Kama aneweza kuharibu mipango ya Mungu tunahitaji vipi tena msaada wa huyo aliyeweza kuharibiwa mipango yake?
 
wewe jamaa mwongo sana et Satan wa hell na
nyee nyee nyee nyiingi bible say Satan attending heaven meeting with God nadanganya,ukipinga hapa Soma Ayubu 1 na kuendeleza ndio utajua huyo unayemkandia hua anafika mpaka Kwa Mungu na unamwita mbaya na wakati weye mtakatifu hata mbinguni hupajui ,
Anyway I don't believe in
God or Satan na ningekua naamini Katika Dini na Katika Mungu kitu Cha kwanza ningeenda kua karibu na Shetani Ili nijue masharti ya kua karibu na Mungu Ili siku nikikutana nae nisifanye mambo yatakayomzingua Ili nisizinguliwe kama Satan alivyozingiliwa!
Upo bwana
#Mathanzua
🤓🤓🤓🤓
 
Ndio maana nikasema tunapeana mawazo mkuu,huo ulikua mtizamo wangu ,tuendelee kujengana
 
Ni suala lisilopingika ya kwamba Mmoja kati ya malaika wakuu (Covering cherub) aliyeasi ana nguvu na uwezo mwingi wa kufikiri na kutenda pia lakini ni ujinga ulioje kumlinganisha muumba wa vyote na mmoja kati ya viumbe vyake kwa uwezo au kwa chochote, mashetani na shetani wanamjua muumba wao na uwezo wake na kipi anaweza kuyafanya kuliko hata wanadamu
Yakobo 2:19
[19]Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka.
Thou believest that there is one God; thou doest well: the devils also believe, and tremble.

Lakini ifahamike shetani hakuwahi wala hajawahi kumiliki jeshi la mbinguni, lile lina mwenyewe, ndio lilimtoa baru kimabavu mbinguni katika harakati za mapinduzi yake
Nehemia 9:6
[6]Ezra akasema, Wewe ndiwe BWANA, wewe peke yako; wewe ulifanya mbingu, mbingu za mbingu, pamoja na jeshi lake lote, dunia na vyote vilivyomo, bahari na vitu vyote vilivyomo, nawe unavihifadhi vitu hivi vyote; na jeshi la mbinguni lakusujudu wewe.
Thou, even thou, art LORD alone; thou hast made heaven, the heaven of heavens, with all their host, the earth, and all things that are therein, the seas, and all that is therein, and thou preservest them all; and the host of heaven worshippeth thee.
Isaya 45:12
[12]Mimi nimeiumba dunia, nimemhuluku mwanadamu juu yake; Mimi, naam, mikono yangu mimi, imezitanda mbingu, na jeshi lake lote nimeliamuru.
I have made the earth, and created man upon it: I, even my hands, have stretched out the heavens, and all their host have I commanded.

So ukisikia Bwana wa Majeshi ni Bwana haswa na anafanya apendavyo yeye si kulingana na commentators wa jf wanavyohitaji vifanyike
 


Hivyo unataka kusema Shetani na Mungu wanayo mamlaka pinzani (equal antagonistic authority and power) yaliyosawa ya MILELE (Hellbound versus Heaven bound)??!
 


Yesu alisharudi na kisha ondoka, wewe bado unamsubiri tu??!!--- hata babu wa baba yako naye alikuwa wakati wa uhai wake akimsubiri Yesu arudi duniani lakini NO WAY sasa wewe kitukuu chake nawe umeshika njia hiyo hiyo ya NO WAY, zinduka before it is too late.
 
Amina kamanda
 
Hakuna sababu ya kubishana.Tusubiri,muda ndio utakuwa mwamuzi.
 
Well said..umemaliza kila kitu.
 
Hakuna sababu ya kubishana.Tusubiri,muda ndio utakuwa mwamuzi.


Hapa hatubishani bali tunaeleweshana kwani unaposema Shetani atakuwa na watu wake motoni milele na Mungu atakuwa na watu wake peponi milele katika mazingira hayo inaonekana Shetani anayo nguvu sawa na Mungu lakini ipo kinyume, mfano kama Mungu aende mashiriki km 5 na Shetani naye ataenda km 5 magharibi, mimi napinga hiyo concept; 1--- Wakosefu hawataadhibiwa motoni milele na kila mkosefu atakaa humo kwa muda unaolingana na makosa aliyotenda alipokuwa duniani.
2----Shetani hakuumbwa.na Mungu awe Shetani hivyo hana mamlaka na nguvu inayokaribia nguvu na mamlaka ya Mungu.

Concept ya Hell; Hell itaumbwa na Mungu siku ya kiama ili ndanimo wakosefu/Wagonjwa wa kiroho waingizwe ili wakatibiwe Magonjwa yao, sasa hapo utaona Hell ni hospitali ya magonjwa ya Roho na na mgonjwa akishapona baada ya kuchomwa moto (kupewa dawa) basi anaruhusiwa kurudi nyumbani, nyumbani ndio peponi, huko peponi mgonjwa anaanza maisha ya awali "square one" wakati anawakuta wenzake walioingia moja kwa moja wakiwa katika hatua za juu za spiritual development kwani ndani ya pepo roho / watu bado kwa hiyari yao wataendelea kuutafuta kwa karibu zaidi na zaidi utukufu wa Mungu kwa kufanya ibada za hiyari.

Mkuu, Lengo langu ni hili kwamba ujue Mungu ni mpole, mkarimu, Mwenye upendo na sifa zote njema hawezi kumuumba mtu halafu akamuacha aende moja kwa moja kwa shetani milele wakati Mungu alimuumba mtu ili Mtu amtukuze Yeye milele.

Kifupi ni kwamba; Pepo ni ya milele na jehanamu kama hospitali ni ya muda kwani makosa waliyotenda wakosefu yatakuwa ya muda fulani sasa iweje Mungu ashindwe kutenda haki na aamue kuwachoma watu MILELE??--- huyo hatakuwa Mungu wa haki.

Mungu apishe mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…