Shetani ana uwezo mkubwa sana

Chanzo cha vyote, kwa vitu gani?

Nani kakuambia chanzo lazima kiwe Mungu?
Narudia,wewe ni chumvi iliyo haribika,hakuna sababu ya kuendeleza dialogue na wewe.Endelea na imani yako na mimi niendelee na yangu,time will tell who is right.
 
Yule kiboko pata picha ilikuaje mungu amfukuze tu bila kummaliza alivoomba madaraka wazi wazi akasema nenda tu duniani

Sawa na nyamwilu(nyoka kubwa jeusi) aingie chumbani kwenu na mkeo(strong room mnakotaftia watoto kuzalia hosipitali au njiani unavokimbizwa machela dispensari) harafu unambembeleza aende chumba Cha watoto eti watapambanaga hukohuko

Uchizi mkubwa kabisa hapa mungu alitukosea afanye hima kuja kutuomba radhi Kuna vipimo Ila sio Cha RUSIFA

RUSIFA shetani Hana tofauti Sana na tuntemeke sanga kwa babu yetu nyerere(kwenda ofisini kwamtu mzima Kama nyerere nakumwambia father nchi imekushinda naomba nishike hatamu mwenyewe ,sio kazi ndogo
 
Kwa kifupi tu ni kwamba hata Mungu mwenyewe ameshasarenda, amekubali kushindwa na shetani, hana namna!

Shetani ndiye mmiliki halisi wa ulimwengu huu, ndio ukisoma kwenye biblia, shetani alimuonyesha Yesu miliki za ulimwengu na kuahidi kumpatia kama atamsujudia.
Lakini pia, Mungu amekiri kabisa katika biblia kuwa binadamu walio wengi watafuata ushawishi wa shetani na wachache sana ndio watafuata maelekezo ya Mungu, yaani shetani ndiye mwenye ushawishi zaidi juu ya wanadamu kuliko Mungu... Imagine!

Hoja hiyo hapo juu inathibitishwa na ushahidi kuwa ni wachache tu watakaoingia mbinguni/peponi, bali walio wengi wataenda jehanamu, kwa ushawishi wa shetani!

Mungu kazidiwa kabisa na shetani, na jambo la kusikitisha ni kwamba hana uwezo wa kumwangamiza shetani, HAWEZI! Hivyo anabaki kutia huruma tu, hana la kufanya na shetani anatamba bila wasiwasi, popote. SHETANI hoyeeeee!
shetani ni tulizo la maskini duniani na matajiri
 
Shetani hamiliki jeshi la Mbinguni mkuu,God controls it,that is one.Two, ni kweli Shetani ana nguvu,but only if you have not received Jesus Christ as your personal saviour.Three, despite what you see happening in the World, God is in control of it all.Lastly, God will destroy Satan at the end of time with all his followers.
Mwambieni yesu arudi ili aeleweka lasivyo haeleweki uongo sio mzuri mr sheeeee
 
Hiki ni kiburi cha uzima,Ila pamoja na yote haya,Bwana Yesu bado anakupenda.

Niseme hivii,Bwana Yesu anaeleweka sana,na sisi tunamuelewa sana.Sasa akirudi leo watu kama ninyi si mtaachwa?He is buying time,ili wewe uweze kuokolewa.Hachelewi kama wewe unavyodhani.
 
Kama aneweza kuharibu mipango ya Mungu tunahitaji vipi tena msaada wa huyo aliyeweza kuharibiwa mipango yake?
 
Mokaze nimesema hivii,if you choose Satan, you have choosen hell because Satan's place is hell.How do you choose the ways of Satan and expect to go to Heaven,that is impossible.Upo msemo usemao "ukipenda ua penda na boga lake pia." Umempenda Shetani na njia zake,penda pia hell.

Halafu niku-kumbushe kwamba Heaven is for righteous people only!Wewe kama sio mtakatifu huwezi kuingia mbinguni.So choose Satan and go to hell or choose God and go to Heaven,hakuna midpoint.
wewe jamaa mwongo sana et Satan wa hell na
nyee nyee nyee nyiingi bible say Satan attending heaven meeting with God nadanganya,ukipinga hapa Soma Ayubu 1 na kuendeleza ndio utajua huyo unayemkandia hua anafika mpaka Kwa Mungu na unamwita mbaya na wakati weye mtakatifu hata mbinguni hupajui ,
Anyway I don't believe in
God or Satan na ningekua naamini Katika Dini na Katika Mungu kitu Cha kwanza ningeenda kua karibu na Shetani Ili nijue masharti ya kua karibu na Mungu Ili siku nikikutana nae nisifanye mambo yatakayomzingua Ili nisizinguliwe kama Satan alivyozingiliwa!
Upo bwana
#Mathanzua
🤓🤓🤓🤓
 
Kwanza hajatawala ulimwengu wa Nuru na hawezi ,yeye ni wa Gizani!

Pili ,ulimwengu wa roho unajulikana labda wewe mkuu ndo hujaujua,Fanya juu chini uujue!

Tatu ,silaha tunazo ,soma vizuri biblia silaha zipo nyingi sana za kumuangamiza mbona,Mungu ametupa,ila sisi ndo hatujui kuzitumia!

NNE ni kweli km mwanadamu huwezi,ndo maana neno linasema,...mkaribieni Mungu nae atawakaribia ndipo mmpinge shetani nae atawakimbia...
Kwahiyo hakuna mwanadamu yyt mwenye nguvu ,uwezo wa kumpinga shetani bila kwenda kwa Mungu kwanza akapewa nguvu na maarifa ya namna ya kumshinda shetani!wengi wanafanya vita mwilini bila kujua,wakati neno limesema.... Vita vyetu si juu ya damu na nyama.....
Kwa kifupi umpokee Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako kwanza !

Tano,Mikael na jeshi lake hawakushinda kwa ushindi mwembamba km unavyodhani, walishinda kwa kishindo kwa damu ya mwanakondoo! (Ya Yesu,Mungu mwenyewe)hapo ndo shetani alipochemka!
Ndo maana mpk leo bado anahangaika kutoa kafara za damu za wanyama,watu nk...

Niishie hapa kwa leo...
Ndio maana nikasema tunapeana mawazo mkuu,huo ulikua mtizamo wangu ,tuendelee kujengana
 
Ni suala lisilopingika ya kwamba Mmoja kati ya malaika wakuu (Covering cherub) aliyeasi ana nguvu na uwezo mwingi wa kufikiri na kutenda pia lakini ni ujinga ulioje kumlinganisha muumba wa vyote na mmoja kati ya viumbe vyake kwa uwezo au kwa chochote, mashetani na shetani wanamjua muumba wao na uwezo wake na kipi anaweza kuyafanya kuliko hata wanadamu
Yakobo 2:19
[19]Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka.
Thou believest that there is one God; thou doest well: the devils also believe, and tremble.

Lakini ifahamike shetani hakuwahi wala hajawahi kumiliki jeshi la mbinguni, lile lina mwenyewe, ndio lilimtoa baru kimabavu mbinguni katika harakati za mapinduzi yake
Nehemia 9:6
[6]Ezra akasema, Wewe ndiwe BWANA, wewe peke yako; wewe ulifanya mbingu, mbingu za mbingu, pamoja na jeshi lake lote, dunia na vyote vilivyomo, bahari na vitu vyote vilivyomo, nawe unavihifadhi vitu hivi vyote; na jeshi la mbinguni lakusujudu wewe.
Thou, even thou, art LORD alone; thou hast made heaven, the heaven of heavens, with all their host, the earth, and all things that are therein, the seas, and all that is therein, and thou preservest them all; and the host of heaven worshippeth thee.
Isaya 45:12
[12]Mimi nimeiumba dunia, nimemhuluku mwanadamu juu yake; Mimi, naam, mikono yangu mimi, imezitanda mbingu, na jeshi lake lote nimeliamuru.
I have made the earth, and created man upon it: I, even my hands, have stretched out the heavens, and all their host have I commanded.

So ukisikia Bwana wa Majeshi ni Bwana haswa na anafanya apendavyo yeye si kulingana na commentators wa jf wanavyohitaji vifanyike
 
Mokaze nimesema hivii,if you choose Satan, you have choosen hell because Satan's place is hell.How do you choose the ways of Satan and expect to go to Heaven,that is impossible.Upo msemo usemao "ukipenda ua penda na boga lake pia." Umempenda Shetani na njia zake,penda pia hell.

Halafu niku-kumbushe kwamba Heaven is for righteous people only!Wewe kama sio mtakatifu huwezi kuingia mbinguni.So choose Satan and go to hell or choose God and go to Heaven,hakuna midpoint.

Hivyo unataka kusema Shetani na Mungu wanayo mamlaka pinzani (equal antagonistic authority and power) yaliyosawa ya MILELE (Hellbound versus Heaven bound)??!
 
Hiki ni kiburi cha uzima,Ila pamoja na yote haya,Bwana Yesu bado anakupenda.

Niseme hivii,Bwana Yesu anaeleweka sana,na sisi tunamuelewa sana.Sasa akirudi leo watu kama ninyi si mtaachwa?He is buying time,ili wewe uweze kuokolewa.Hachelewi kama wewe unavyodhani.

Yesu alisharudi na kisha ondoka, wewe bado unamsubiri tu??!!--- hata babu wa baba yako naye alikuwa wakati wa uhai wake akimsubiri Yesu arudi duniani lakini NO WAY sasa wewe kitukuu chake nawe umeshika njia hiyo hiyo ya NO WAY, zinduka before it is too late.
 
Ni suala lisilopingika ya kwamba Mmoja kati ya malaika wakuu (Covering cherub) aliyeasi ana nguvu na uwezo mwingi wa kufikiri na kutenda pia lakini ni ujinga ulioje kumlinganisha muumba wa vyote na mmoja kati ya viumbe vyake kwa uwezo au kwa chochote, mashetani na shetani wanamjua muumba wao na uwezo wake na kipi anaweza kuyafanya kuliko hata wanadamu
Yakobo 2:19
[19]Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka.
Thou believest that there is one God; thou doest well: the devils also believe, and tremble.

Lakini ifahamike shetani hakuwahi wala hajawahi kumiliki jeshi la mbinguni, lile lina mwenyewe, ndio lilimtoa baru kimabavu mbinguni katika harakati za mapinduzi yake
Nehemia 9:6
[6]Ezra akasema, Wewe ndiwe BWANA, wewe peke yako; wewe ulifanya mbingu, mbingu za mbingu, pamoja na jeshi lake lote, dunia na vyote vilivyomo, bahari na vitu vyote vilivyomo, nawe unavihifadhi vitu hivi vyote; na jeshi la mbinguni lakusujudu wewe.
Thou, even thou, art LORD alone; thou hast made heaven, the heaven of heavens, with all their host, the earth, and all things that are therein, the seas, and all that is therein, and thou preservest them all; and the host of heaven worshippeth thee.
Isaya 45:12
[12]Mimi nimeiumba dunia, nimemhuluku mwanadamu juu yake; Mimi, naam, mikono yangu mimi, imezitanda mbingu, na jeshi lake lote nimeliamuru.
I have made the earth, and created man upon it: I, even my hands, have stretched out the heavens, and all their host have I commanded.

So ukisikia Bwana wa Majeshi ni Bwana haswa na anafanya apendavyo yeye si kulingana na commentators wa jf wanavyohitaji vifanyike
Amina kamanda
 
Hakuna sababu ya kubishana.Tusubiri,muda ndio utakuwa mwamuzi.
 
Well said..umemaliza kila kitu.
 
Hakuna sababu ya kubishana.Tusubiri,muda ndio utakuwa mwamuzi.

Hapa hatubishani bali tunaeleweshana kwani unaposema Shetani atakuwa na watu wake motoni milele na Mungu atakuwa na watu wake peponi milele katika mazingira hayo inaonekana Shetani anayo nguvu sawa na Mungu lakini ipo kinyume, mfano kama Mungu aende mashiriki km 5 na Shetani naye ataenda km 5 magharibi, mimi napinga hiyo concept; 1--- Wakosefu hawataadhibiwa motoni milele na kila mkosefu atakaa humo kwa muda unaolingana na makosa aliyotenda alipokuwa duniani.
2----Shetani hakuumbwa.na Mungu awe Shetani hivyo hana mamlaka na nguvu inayokaribia nguvu na mamlaka ya Mungu.

Concept ya Hell; Hell itaumbwa na Mungu siku ya kiama ili ndanimo wakosefu/Wagonjwa wa kiroho waingizwe ili wakatibiwe Magonjwa yao, sasa hapo utaona Hell ni hospitali ya magonjwa ya Roho na na mgonjwa akishapona baada ya kuchomwa moto (kupewa dawa) basi anaruhusiwa kurudi nyumbani, nyumbani ndio peponi, huko peponi mgonjwa anaanza maisha ya awali "square one" wakati anawakuta wenzake walioingia moja kwa moja wakiwa katika hatua za juu za spiritual development kwani ndani ya pepo roho / watu bado kwa hiyari yao wataendelea kuutafuta kwa karibu zaidi na zaidi utukufu wa Mungu kwa kufanya ibada za hiyari.

Mkuu, Lengo langu ni hili kwamba ujue Mungu ni mpole, mkarimu, Mwenye upendo na sifa zote njema hawezi kumuumba mtu halafu akamuacha aende moja kwa moja kwa shetani milele wakati Mungu alimuumba mtu ili Mtu amtukuze Yeye milele.

Kifupi ni kwamba; Pepo ni ya milele na jehanamu kama hospitali ni ya muda kwani makosa waliyotenda wakosefu yatakuwa ya muda fulani sasa iweje Mungu ashindwe kutenda haki na aamue kuwachoma watu MILELE??--- huyo hatakuwa Mungu wa haki.

Mungu apishe mbali.
 
Similar Discussions

18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom