Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,436
- 5,124
Mungu akiwa upande wetu, ni nani aliye juu yetu? Ko tutatoboa tu usiwaze!E bwana embu tuchangiane mawazo huyu kiumbe shetani ni kiumbe mwenye nguvu sana ,kiukweli anatisha ,ni hivi
- ameweza kumiliki jeshi la mbinguni
-ameharibu mipango mingi ya Muumbaji,
-licha ya kumjua Mungu bado anamtunishia kifua
-Ametawala sehemu kubwa ya ulimwengu wa Nuru na ulimwengu wa Giza ndio kaubeba kabisa
Yako mengi ambayo ameyafanya yanatisha kiukweli tunahitaji msaada wa Mungu siyo rahisi kupona ,maana huku duniani ndiko alikotupwa ,maana maandiko matakatifu yanasimulia kulitokea vita kuu mbinguni ,aisee labda hatujui ila ni vita iliyisheheni maarifa ya hali ya juu ,zana zenye uwezo wa kutisha,silaha zenye kuangamiza mwili na roho.Huyu kiumbe aliwasha moto yaani aliliamsha kwelikweli,Mikael mkuu wa majeshi ikabidi aombe msaada ,ndipo ushindi mwembamba ukapatikana.
Najiuliza sisi binadamu ambao hata ulimwengu wa roho hatuujui,wala hatuna silaha yoyote ya maana tutatoboa?
Bwashee una uhakika ,maana hata vitabu vitakatifu vimemtaja sana siyo kiumbe mwepesi mwepesshetani is imaginary, hakuna kitu kama hicho
Jokashe turn au shetan?
Hata wewe huna uhakika boss, ni imani tuu na kila mtu ana yakeBwashee una uhakika ,maana hata vitabu vitakatifu vimemtaja sana siyo kiumbe mwepesi mwepes
E bwana embu tuchangiane mawazo huyu kiumbe shetani ni kiumbe mwenye nguvu sana ,kiukweli anatisha ,ni hivi
- ameweza kumiliki jeshi la mbinguni
-ameharibu mipango mingi ya Muumbaji,
-licha ya kumjua Mungu bado anamtunishia kifua
-Ametawala sehemu kubwa ya ulimwengu wa Nuru na ulimwengu wa Giza ndio kaubeba kabisa
Yako mengi ambayo ameyafanya yanatisha kiukweli tunahitaji msaada wa Mungu siyo rahisi kupona ,maana huku duniani ndiko alikotupwa ,maana maandiko matakatifu yanasimulia kulitokea vita kuu mbinguni ,aisee labda hatujui ila ni vita iliyisheheni maarifa ya hali ya juu ,zana zenye uwezo wa kutisha,silaha zenye kuangamiza mwili na roho.Huyu kiumbe aliwasha moto yaani aliliamsha kwelikweli,Mikael mkuu wa majeshi ikabidi aombe msaada ,ndipo ushindi mwembamba ukapatikana.
Najiuliza sisi binadamu ambao hata ulimwengu wa roho hatuujui,wala hatuna silaha yoyote ya maana tutatoboa?
Bwashee una uhakika ,maana hata vitabu vitakatifu vimemtaja sana siyo kiumbe mwepesi mwepes
Kwa kifupi tu ni kwamba hata Mungu mwenyewe ameshasarenda, amekubali kushindwa na shetani, hana namna!Ongezeko la mashoga sasa, yaani aibu tupu. Ila kwa jina la Yesu atashidwa kabisa
Shetani hamiliki jeshi la Mbinguni mkuu,God controls it,that is one.Two, ni kweli Shetani ana nguvu,but only if you have not received Jesus Christ as your personal saviour.Three, despite what you see happening in the World, God is in control of it all.Lastly, God will destroy Satan at the end of time with all his followers.E bwana embu tuchangiane mawazo huyu kiumbe shetani ni kiumbe mwenye nguvu sana ,kiukweli anatisha ,ni hivi
- Ameweza kumiliki jeshi la mbinguni
- Ameharibu mipango mingi ya Muumbaji,
- Licha ya kumjua Mungu bado anamtunishia kifua
- Ametawala sehemu kubwa ya ulimwengu wa Nuru na ulimwengu wa Giza ndio kaubeba kabisa
Yako mengi ambayo ameyafanya yanatisha kiukweli tunahitaji msaada wa Mungu siyo rahisi kupona ,maana huku duniani ndiko alikotupwa ,maana maandiko matakatifu yanasimulia kulitokea vita kuu mbinguni ,aisee labda hatujui ila ni vita iliyisheheni maarifa ya hali ya juu ,zana zenye uwezo wa kutisha,silaha zenye kuangamiza mwili na roho.
Huyu kiumbe aliwasha moto yaani aliliamsha kwelikweli,Mikael mkuu wa majeshi ikabidi aombe msaada ,ndipo ushindi mwembamba ukapatikana.
Najiuliza sisi binadamu ambao hata ulimwengu wa roho hatuujui,wala hatuna silaha yoyote ya maana tutatoboa?
Acha bange mkuu uendawazimu unakuandamaE bwana embu tuchangiane mawazo huyu kiumbe shetani ni kiumbe mwenye nguvu sana ,kiukweli anatisha ,ni hivi
- Ameweza kumiliki jeshi la mbinguni
- Ameharibu mipango mingi ya Muumbaji,
- Licha ya kumjua Mungu bado anamtunishia kifua
- Ametawala sehemu kubwa ya ulimwengu wa Nuru na ulimwengu wa Giza ndio kaubeba kabisa
Hizi ni hasira. Picha ya kuchorwa/kuchongwa haiwezi mtisha mchoraji/mchongaji.Kwa kifupi tu ni kwamba hata Mungu mwenyewe ameshasarenda, amekubali kushindwa na shetani, hana namna!
Shetani ndiye mmiliki halisi wa ulimwengu huu, ndio ukisoma kwenye biblia, shetani alimuonyesha Yesu miliki za ulimwengu na kuahidi kumpatia kama atamsujudia.
Lakini pia, Mungu amekiri kabisa katika biblia kuwa binadamu walio wengi watafuata ushawishi wa shetani na wachache sana ndio watafuata maelekezo ya Mungu, yaani shetani ndiye mwenye ushawishi zaidi juu ya wanadamu kuliko Mungu... Imagine!
Hoja hiyo hapo juu inathibitishwa na ushahidi kuwa ni wachache tu watakaoingia mbinguni/peponi, bali walio wengi wataenda jehanamu, kwa ushawishi wa shetani!
Mungu kazidiwa kabisa na shetani, na jambo la kusikitisha ni kwamba hana uwezo wa kumwangamiza shetani, HAWEZI! Hivyo anabaki kutia huruma tu, hana la kufanya na shetani anatamba bila wasiwasi, popote. SHETANI hoyeeeee!
Haya ndio maajabu, kinyago alikichonga mwenyewe halafu mbio zikamuokoa..Hizi ni hasira. Picha ya kuchorwa/kuchongwa haiwezi mtisha mchoraji/mchongaji.
Kwa mtizamo wako na kwajinsi unavyoyaona mambo chief.Haya ndio maajabu, kinyago alikichonga mwenyewe halafu mbio zikamuokoa..
Yaani kinyago kikamtisha hadi kaamua kukimbia!
Pamoja sana kiongozi..Kwa mtizamo wako na kwajinsi unavyoyaona mambo chief.