Vipi safari hii alivoanguka alijifunika sketi Tena ili askae uchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hapo kapendeza
Yaani hamna hata supporting evidence hata moja..!!!
Una uhakika rose yupo humu asome ushauri uliompa?
Mwambie akae mbali na madawa ya kulevya na utapeli, hayo ndiyo mafisi yanayomnyemelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia ujifunzeHuyu shetani kila kitu anasingiziwa yeye, yaani mtu abwie maunga yake lawama apewe shetani hii ni hatari
Dah afadhali ikiwezekana akae nao mbali waliomsababishia matatizo hayo na Mungu amlinde na kumuongeza katika njia njema siku zote za maisha yake.
Hivi kwa nini mnapenda kumsingizia shetani kwa ujinga wa mtu mwenyewe?
2Wakorintho 11:14-15.Shetani anaweza kukuponya na kukupa maradhi pia
Hakunaga shetani
Acha uongo weweAshukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu Rose Muhando
Shukrani ziwaende watumishi wa Mungu Kenya waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha Rose anakuwa salama
Baada ya miezi kadhaa sasa umerudi kuwa vema
Ushauri kwa Rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.
Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO