Shetani akizeeka anakuwa malaika

Kazi ya fasihi.Asante mkuu
 
Now or never...! Wakati si milele...!!

Mshana Jr nilijua wewe unaamini katika kufa na kufufuka.
kama ndiyo basi muktadha wa "now or never - wakati siyo milele" wakati unaamini katika umilele wa maisha yajayo inakuwa ni fallasy.
Hata hivyo, kwa maisha yetu hapa duniani na kwa bandiko hili, ni kweli wakati siyo milele
 
Mshana jr sijaelewa hii plz nitoe porin nisogeze barabaran
Mi nimemuelewa Mshana katuambia
Tuwe malaika mapema kwa kufahamu uwepo wa mwenyezi mungu,au kwa rugha nyepesi
Tuswali (Sali) kabla hatujaswaliwa (saliwa)

Na kwa wale waliochagua kuishi maisha ya ushetani bac wachimbe mashimo mapema kabla hawajazeeka wakachekwa
Wale nyama mapema kabla meno ayajang'ooka mdomoni,
Au kwa rugha nyepesi
Vunja mifupa kama meno bado yapo
 
Hahahaha nimemuwaza bibi mmoja mchawi kweli alisumbuaga sana mtaa miaka ya nyuma,eti akakufwa akiwa ameokoka khaaa yani jamani kuna watu sijui ni bahati yaaani kama kuna kujigamba huko tunakoenda baada ya kufa,yule bibi atajigamba sana haha kama namuona anasema "nimeroga saaaana na bado nimeingia mbinguni"
 
"Nimeroga sana na bado nimeingia mbinguni"...
mbavu zangu jaman
 
Ameokolewa kwa Neema tu
 
Nanukuu "Nimewakumbuka hata hawa wanaokaribia kufika huko!?" Inaonekana hapa ndipo penye fumbo la IMANI la uzi huu.
 
eti "nimeroga sana na bado nimeingia mbinguni"
 
Umetisha Mshana Jr japo kuna moja Ana miaka 94 lkn alijivua nguo mwenyewe pale mnazi moja kwa kutaka kiongozi wa malaika abadilishe katiba atawale milele sababu tu ili kumjengea mwanae mazingira awe rais wa koloni lao znz mwaka 2020...
 
Umetisha Mshana Jr japo kuna moja Ana miaka 94 lkn alijivua nguo mwenyewe pale mnazi moja kwa kutaka kiongozi wa malaika abadilishe katiba atawale milele sababu tu ili kumjengea mwanae mazingira awe rais wa koloni lao znz mwaka 2020...
Halafu anaishi miaka ya ubatili
 
Halafu anaishi miaka ya ubatili
Sema ilikuwa lazima yy mwenyewe atuakkishie yule kijana alie mpiga kibao alikuwa yupo sahihi maana duniani hapa ukiwa mjinga ww ndio utakawaeleza watu mie mjinga na ukiwa muelevu ww mwenyewe ndio utawaeleza watu jamani mie muelevu kupitia matendo yko...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…