SureNdio maana kiubinadam hauwezi kumuhukumu MTU Kwa matukio ya nyuma sababu hulka ya binadamu ni kubadilika
Odili mifano ni mingi sana hata wewe unaweza kuwa na michache unayoijua! Kuna watu wengi ujanani walikuwa moto wa kuotea mbali kwenye mambo ya kishetani lakini ukiwaona leo ni kama mazezeta! Wao na dini dini na waomshana jr asante kwa elimu ngumu uliyotupa Jumapili ya leo, unaonaje ukiongezea maelezo kidogo ukiambatanisha na vimifano hai ili niifaidi zaidi elimu hii?
Ukiona hivyo ujue anaelekea uzeeni si ajabu ukamkuta siku moja ni bonge la ustadhMkuu mshana jr naona unanipa elimu kwa njia shirikishi. Hutaki kabisa kunilisha matilio moja kwa moja. Umegusia mzee Yusufu ni kweli kuna mahala nilisoma inadaiwa eti kaacha taarabu kamrudia Muumba wake.
umenitouch pale pale, mh
In kweli kabisa mfano pia yule mwana hip hop Saigon sasa ivi sala tano...jamani tukumbuke mungu yupo na pia ametupa miongozo yakufuata ili tuenende vile anapenda...jumapili njema wadau[emoji307]Odili mifano ni mingi sana hata wewe unaweza kuwa na michache unayoijua! Kuna watu wengi ujanani walikuwa moto wa kuotea mbali kwenye mambo ya kishetani lakini ukiwaona leo ni kama mazezeta! Wao na dini dini na wao
Umesoma habari za mzee Yusuph?
Unapofikia hatua ya uzee unakuwa umeshapitia maisha mengi sana unakuwa unajua kila kitu kwahiyo hakuna jipya tena kwako yote yanakuwa ya kawaida ila Mungu hubaki Mungu..ndio yule yule Mungu wa ujanani! Mungu ni yule yule jana leo na hata milele amina
Ukiona mzee anafanya mambo ya ujanani ujue huyo hiyo stage ilimruka au aliiruka
Thats very true.View attachment 389080ni siku nyingine njema siku ya Jumapili siku ya kumwabudu Mungu na kutubu, wengine ilikuwa jana wengine ilikuwa juzi nknk! Kila mtu ana siku yake ya kuabudu kwa imani yake!ni siku maalum kwa waamini na waaminio
Ulaya ya leo ni ngumu mno kukuta vijana kwenye nyumba za ibada! Waende kufanya nini wakati hawajazeeka? Kwao kanisani ni kwa wazee na kwakweli makanisani kule utakuta vikongwe tuu.. (mashetani ya zamani? [emoji7] [emoji27] [emoji3])
Kuna kisa cha kweli kabisa cha yule jambazi wa zamani ambaye sasa ni mtu mzima kaokoka anampenda Yesu na ni mhubiri! Shetani kazeeka?![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakumbuka zamani kule vijijini kulikuwa na watu watemi hasa magangwe wanaoogopeka kupita kiasi ni watemi mtaa kwa mtaa kijiji kwa kijiji ! Siku hizi ukiwakuta wale ambao bado wako hai ni watu wazima wanaotegemewa mno na jamii wengi ni viongozi wa kidini kwa imani zao ! Wapole kweli kisha wanyenyekevu! Huwa najiuliza hivi huyu ndo yule wa kipindi kile kweli? Ama kwa hakika shetani akizeeka anakuwa malaika
Wengi wetu wiki hii kwa imani zao wameshindwa kabisa kwenda kufanya ibada kwa imani zao kwa visingizio mbalimbali lakini kiuhalisia ni sababu za kutunga, ni vishetani ambavyo havijazeeka ujana mwingi ujuaji mwingi.. miti kwa sana tuu....ila kumbuka fainali uzeeni zitabaki story za Aah mimi enzi zangu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]