Hahahahaaaaaaa!!! Hapo kwenye miti kwa sanaa.View attachment 389080ni siku nyingine njema siku ya Jumapili siku ya kumwabudu Mungu na kutubu, wengine ilikuwa jana wengine ilikuwa juzi nknk! Kila mtu ana siku yake ya kuabudu kwa imani yake!ni siku maalum kwa waamini na waaminio
Ulaya ya leo ni ngumu mno kukuta vijana kwenye nyumba za ibada! Waende kufanya nini wakati hawajazeeka? Kwao kanisani ni kwa wazee na kwakweli makanisani kule utakuta vikongwe tuu.. (mashetani ya zamani?![]()
![]()
)
Kuna kisa cha kweli kabisa cha yule jambazi wa zamani ambaye sasa ni mtu mzima kaokoka anampenda Yesu na ni mhubiri! Shetani kazeeka?!![]()
![]()
![]()
Nakumbuka zamani kule vijijini kulikuwa na watu watemi hasa magangwe wanaoogopeka kupita kiasi ni watemi mtaa kwa mtaa kijiji kwa kijiji ! Siku hizi ukiwakuta wale ambao bado wako hai ni watu wazima wanaotegemewa mno na jamii wengi ni viongozi wa kidini kwa imani zao ! Wapole kweli kisha wanyenyekevu! Huwa najiuliza hivi huyu ndo yule wa kipindi kile kweli? Ama kwa hakika shetani akizeeka anakuwa malaika
Wengi wetu wiki hii kwa imani zao wameshindwa kabisa kwenda kufanya ibada kwa imani zao kwa visingizio mbalimbali lakini kiuhalisia ni sababu za kutunga, ni vishetani ambavyo havijazeeka ujana mwingi ujuaji mwingi.. miti kwa sana tuu....ila kumbuka fainali uzeeni zitabaki story za Aah mimi enzi zangu!![]()
![]()
![]()
![]()
duuh Ni Nan na msanii wa wap?Huyu akizeeka hawezi kujiachia tena kama alivyofanya hapoView attachment 1104605
Tunaishi kwa NeemaNa ndio maana tunakufa na mengi
Hakika.Na tunakombolewa kwa neema kuu