sheta kaoa!

sheta kaoa!

Willy sony

Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
22
Reaction score
3
hatimaye shetta akaa jamvini na kufunga ndoa na mwanadashosti ambaye kashamtia mimba ina miez 7
 
na wewe utakuja kupata wakwe hao......acha tu
lol
hahahahahahahah umeamua na kunilaani kabisa....sijui lakini maana watoto wa siku hizi wanaweza kukuletea kituko ukazimia mara 100,mungu aniepushie wallah maana na nilivyo itabidi watafute mama mkwe wa dharura!
 
lol salale....inatosha mkwe mwenzangu!!bt nawew watoto wako watakuletea wakwe weny nyodo mara 100 zako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom