ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Binafsi Sina chuki yoyote na SHETA ni kuwa naheshimu sana, ila Niseme wazi huyu bwana hatoshi kuwa Meya wa Jiji la Dar
CCM heshimuni basi wananchi kidogo
Mnafanya mambo kishabiki mno.
Mnawapa watu dhaifu madaraka makubwa mno
Au ndo mnawapa madaraka ili muweze kuwaendesha na kupitisha mikataba na zabuni zenu kifisadi na Kwa ulaghai
SHETA ni msanii hajawahi kuwa hata balozi, mmeiba uchaguzi mkampa kura hewa na eti Leo SHETA ndo Meya wa Jiji la Dar es salaam
Jiji la Dar es salaam ndo lango la Tanzania, East Africa na nchi zote za maziwa makuu
Dar ina Fursa nyingi na changamoto nyingi
Leo mnampa SHETA ambaye ni mchanga kwenye uongozi, mnampa Jiji kubwa kama Dar es salaam