ShesRise_1 nyuzi zako za moto

ShesRise_1 nyuzi zako za moto

Wewe bado mgeni humu, humjui binti wa zamani wewe 🔥🔥
Mkaribishe mgeni buana 😂😂

Mie namkubali sana huyu mdogo wetu ShesRise_1 , sema huwa hapendi kuanzishiwa hizi nyuzi 😒
Iphone Stan Twitter GIF.gif
 
Hongera kwake, nikipata sukuma wangu ntampeleka kwake amfundishe 😎
 
Dada huyu anajua mahaba balaa nyuzi zake za kishua.natamani nipate mke mwenye mahaba kama yeye.
Naamini katika maisha, uzoefu ni Mwalimu mzuri. Yalimpata akajifunza na leo ShesRise_1 kutokana na uzoefu, anakuwa Mwalimu mzuri. Ndiyo maana kijana wa chini ya 25 akimpata mwanamke mwenye uzoefu (singo maza), anatangaza ndoa. Hii inatokana na mwanamke kujisahihisha na sasa kuisaka ndoa au mapenzi kwa nguvu. Viashiria, hakosi kuongelea kulombana etc.

Likewise sisi mizee ndiyo tunawaweza mabikraa maana tuna uzoefu na nyie bado kabisa mapepe. Mtu unampelekea moto binti hadi anashindwa kutembea, vita au mapenzi. Nani anataka majeraha? Kuna tofauti ya fu.cking na making love ujue
 
Naamini katika maisha, uzoefu ni Mwalimu mzuri. Yalimpata akajifunza na leo ShesRise_1 kutokana na uzoefu, anakuwa Mwalimu mzuri. Ndiyo maana kijana wa chini ya 25 akimpata mwanamke mwenye uzoefu, anatangaza ndoa.

Likewise sisi mixer ndiyo tunawaweza mabila maana tuna uzoefu na nyie bado kabisa mapepe. Mtu unampelekea moto binti hadi anashindwa kutembea, vita au mapenzi. Nani anataka majeraha? Kuna tofauti ya fu.cking na making love ujue
Ila watanganyika mna mambo
 
Naamini katika maisha, uzoefu ni Mwalimu mzuri. Yalimpata akajifunza na leo ShesRise_1 kutokana na uzoefu, anakuwa Mwalimu mzuri. Ndiyo maana kijana wa chini ya 25 akimpata mwanamke mwenye uzoefu (singo maza), anatangaza ndoa. Hii inatokana na mwanamke kujisahihisha na sasa kuisaka ndoa au mapenzi kwa nguvu. Viashiria, hakosi kuongelea kulombana etc.

Likewise sisi mizee ndiyo tunawaweza mabikraa maana tuna uzoefu na nyie bado kabisa mapepe. Mtu unampelekea moto binti hadi anashindwa kutembea, vita au mapenzi. Nani anataka majeraha? Kuna tofauti ya fu.cking na making love ujue
Umeandika maelezo malefu kama hivi kunizungumzia mimi tu ?
Na ukaona unitag🤔

Unahisi nataka bwana kwa kuandika nyuzi za mapenzi?

Hivi unajua kua nini nyuzi nyingi sana za kijamii na ki falsafa ?

Au hua unaona hizo za mapenzi tu?

Una uhakika nina stress ya kutaka mpenzi au mume?

NB : japo hii sio kwa ulazima na sipendi kusema mimi mwanamke mzuri tena mrembo sina uhaba wa mwanaume

Iko hivi nikiwa single ni maamzi yangu binafsi so siwezi kuja JF kutafuta attention kwa mwanaume nisie mjua tena saingine ukute ni choka mbaya kuanzia muonekano mpka life

Nahitimisha kusema sina chuki na mtu yeyeto nipo kumu kwa mambo mengi kujifunza baadhi ya mambo na ku refresh mind 🤝
 
Bro umejianziashia uzi au sio sio
Bro hadi wewe unasema hivi?

Huu uzi nimeona tokea alipo upost ila nika ignore

Sasa kuna huyo Gwapole kani tag na gazeti lefu imebidi nijibu na kukujibu wewe pia

Bro siko hizo level za kujitekenya na kucheka
 
Relax bro nothing is serious hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom