Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Khadija kopa
Huyo mwanaume bhana
kwa hiyo unataka kusema kafanana na malkia wa mipasho
sasa hapa tena unasema ni mwanaume kwa hiyo malkia wa mipasho yupo kama mwanaume ?
Hiyo body ya kiume kabisa ila the way alivojipodoa he look like a malkia wa mipasho
Huyo mwanaume bhana
Ni mwanamke, kama huamini angalia huyo jamaa wa nyuma yake kaweka mkono wapi
anataka kufanana na muimbaji mmoja wa taarabu
exactly.... ha ha ha.... una macho mazuri sana