Sherif Joe Arpaio to endorse Trump

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Trump amesema akichaguliwa sherif AArpaio atakuwa kwenye list ya Attorney General.
Mnasemaje hapa uwezekano wa Trump kuwa Rais mkubwa sasa hivi.
 
Kuna tetesi anaweza susa the next Fox News Debate is it true? Will it be a good idea for his campaign?!
Itakuwa sababu ya beef yake na Megyn Kelly
 
Trump amesema akichaguliwa sherif AArpaio Atakuwa kwenye list ya attorney general .Mnasemaje hapa .Uwezekano wa Trump kuwa Rais mkubwa sasa hivi .

Teh teh teh...Joe Arpaio awe AG?

Hahahaaa naona Trump alikuwa anachangamsha jamvi tu.

Halafu kuna watu wajinga sijapata kuona.

Hivi ushaziona zile 'habari' zinazosambaa eti kuwa Donald Trump kawasema vibaya watu weusi?

Hivi kweli angekuwa kasema hayo maneno anayozushiwa angesalimika kweli?

Watu wamezidi mno kuendekeza ujinga.
 
Back
Top Bottom