habari zenu wandugu,nilimaliza kidato cah nne mwaka juzi,na nilipanga tangu zamani kusomea sheria,tatizo ni kwamba matokeo hayakuja vile nilivyopanga iwe ila bado nina dhamira ya kusomea sheria,tatizo ni kila ninaemwambia ananiambia sheria ngumu na ajira yake pia ni ngumu kupatikana,wadau haya maneno ni kweli ama ndo kukatishana tamaa
Nawasilisha na natanguliza shukrani
Nawasilisha na natanguliza shukrani