Sheria za barabarani hazina usawa, this is stupid!

Sheria za barabarani hazina usawa, this is stupid!

Inashangaza!!! Askari anakukamata, mko wawili tu kwenye gari, eti abiria wako wa mbele hajafunga mkanda kama wewe dereva, anakuandikia faini ya 30,000. Wakati unalipa "daladala" inapita watu 30 amefunga mkanda dereva peke yake, 29 hawajafunga - hawakamatwi!!. Really st...!!
Hapo sasa umeelewa nilikua nazungumzia nini asante kwa kudadavua zaidi
 
kama wakuu wenyewe wanavunja sheria sembuse wewe wacha kulia.
IMG_20160702_173157.jpg


swissme
 
Daah huu uzi ni balaaa...kiswahili sijui kwanini hatukifahamu. Sijui ni makusudi au uzembe?
 
Back
Top Bottom