Sheria za barabarani hazina usawa, this is stupid!

Sheria za barabarani hazina usawa, this is stupid!

Inawezekanaje kuzuia watu kujaa kwenye daladala (overcapacity) ili hali hata mwendokasi imekuwa designed kimamisha watu. Nchi haina speed governor/limit
 
Yani hii issue imekua sugu Muda mrefu na sioni apology hapa,kama gari binafsi ikibeba watu kuliko kiwango chake traffic officers wanatwanga notifications lakini mbona daladala wamezifumbia macho??, unakuta kitu ya mbagala,gongo la mboto,imeshona vibaya na pengine nje ya uwezo wa gari lakin hivi izi sheria ni kwamba hazina usawa au washika dau wamezifumbia macho??

Subiri Mkuu wa nchi alikwenda kuchukua uzoefu kwa Kagame miongoni mwa mambo atakayoshughulikia ni hilo, maana kule kwa Kagame abiria wote hukaa kwenye viti na hata bus conductor ana seat yake na ni lazima akae
 
Yani hii issue imekua sugu Muda mrefu na sioni apology hapa,kama gari binafsi ikibeba watu kuliko kiwango chake traffic officers wanatwanga notifications lakini mbona daladala wamezifumbia macho??, unakuta kitu ya mbagala,gongo la mboto,imeshona vibaya na pengine nje ya uwezo wa gari lakin hivi izi sheria ni kwamba hazina usawa au washika dau wamezifumbia macho??
WANAUME WA DAR BUANA!
 
ahahahah itakuwa mtoa mada anawachezea watu vidole si kwa kuchapia tu wakosoaji mkosolewaji wote shida
 
wakuu wamepewa malengo kwa siku zisipungue gari 10 zilizoandikiwa, acha kuwaharibia kazi mkuu!
 
Back
Top Bottom