Sheria za barabarani hazina usawa, this is stupid!

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
2,584
Reaction score
1,886
Yani hii issue imekua sugu Muda mrefu na sioni apology hapa,kama gari binafsi ikibeba watu kuliko kiwango chake traffic officers wanatwanga notifications lakini mbona daladala wamezifumbia macho??, unakuta kitu ya mbagala,gongo la mboto,imeshona vibaya na pengine nje ya uwezo wa gari lakin hivi izi sheria ni kwamba hazina usawa au washika dau wamezifumbia macho??
 
inaitwa barabara na pia ni mbagala na sio mbagara tena ni gongo la mboto na si gongo la mbota...hayo ni yangu kwa sasa

itakua balabala ya mologolo load
Kweli hii ndo JF ukiskia nyingine photocopy.. Ukiandika post unaikagua mara mbili mbili maana kuna wadau wao wanacheki ulipobugi tu.... Napita tu jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kiukwel mtoa mada hilo suala la kudhibit usafir wa mbagala au gombs ni ndoto usafir ni mchache na watu ni wengi sana.. Sa serikali haina jins. Hilo linawezekana kwa mikoa kama ya tanga na dodoma.. Kwa mfano abiria wa tanga ,gar ikifika level seat tu hawapandi. Hakuna tabu ya usafir.. Na ukiongelea kujaza hata zitaanza kuandikiwa faini hizo basi za mwendokasi.. Kama ushawah kuzipanda jion kutoka gerezani kwenda kimara nadhan utanielewa.. Keshi ni kwamba usafir ni mchache na watu ni wengi.. Pia kupakiza abiri kwenye gar ya mizigo tambua ni kosa kisheria.. So dont kubishanaring with the sheria...
 
Nimekula Cheti kwa kuzidisha watu ndani ya gari yangu (gari mdogo its) lakini kisheria kote inakamata hakuna Shida au Si shida
 
Kweli hii ndo JF ukiskia nyingine photocopy.. Ukandika post unaikagua mara mbili mbili maana kuna wadau wao wanacheki ulopobugi tu.... Napita tu jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa ulopobugi!
 
kajipange tena,pili acha ujinga nunua daladala zako za kutosha uziongeze ili watu wasiwe wengi kwenye daladala moja kama unavyotaka
 
Sitarajii mtu wa Jamii furum home of Great thinker kushindwa kuandika,yaani unawezaje kuandika balabala badala ya barabara?daaaa
 
Lekebisha titre mkuu, ni hayo tu. Wako mpendwa Lichadi Magufuri
 
Yani hii issue imekua sugu Muda mrefu na sioni apology hapa,kama gari binafsi ikibeba watu kuliko kiwango chake traffic officers wanatwanga notifications lakini mbona daladala wamezifumbia macho??, unakuta kitu ya mbagala,gongo la mboto,imeshona vibaya na pengine nje ya uwezo wa gari lakin hivi izi sheria ni kwamba hazina usawa au washika dau wamezifumbia macho??
Uliona balabala ya wapi ambako magali yanajaza abilia mpaka mrangoni? Urichukua hatua gani? Wewe nawe eti wajiita UrbanGentleman hapana wewe utakuwa "ulbangentreman"
 
Back
Top Bottom