Sheria za ajabu duniani

Sheria za ajabu duniani

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,250
Reaction score
10,853
Habari Wanajukwaa!

Dunia ina watu takribani bilioni 7 huku wakiwa wamegawanyika kwenye mabara saba; Asia, Afrika, America ya Kaskazini, America ya Kusini, Antarctica, Ulaya, pamoja na Australia huku wakiwa na tamaduni kadha wa kadha, kuanzia utofauti wa chakula pamoja na mavazi, pia lugha na mtindo wa maisha kwa ujumla.

Katika hilo ndipo kukawa na sheria na miiko mbalimbali katika jamii hizo, hapo ndo ikaja tofauti kati ya Nijeria na India, Mexico na New Zealand na kadhalika.

Ila kuna nchi zina sheria ambazo ni ajabu sana na wengi wamejikuta wakifanya tofauti; na inatakiwa kutambua kabla hujaenda kutembelea nchi hizo.

10. Mbwa wako akijisaidia huko Capri Italia na ukaacha kusafisha kinyesi, ni kosa.

IMG_0181.jpg

Uongozi wa eneo hili uliweka sheria hii ili kuweka mji kuwa safi kwa ajili ya watalii na wakazi. Hivyo mbwa wako akijisaidia basi safisha maana ukijifanya mwamba ukakimbia basi watapeleleza DNA za kinyesi hicho mpaka kwa mbwa wako na utalipa dola elfu mbili na mia nne.

9. Ukiwa Uswizi acha mzigo ukielea sio ruhusa kuflash choo usiku wa manane.

IMG_0180.jpg

Kwa wakazi wengi wa Uswisi ni heri ukaacha kila kitu kikielea kuliko kuflash maana ni moja ya kero na usumbufu kwa waliopumzika usiku. Kuflash choo kuanzia saa 4 usiku ni kosa kwa sheria za Uswizi.

8. Kusahau siku ya kuzaliwa ya mke wako ni kosa ukiwa Samoa.

IMG_0179.jpg

Wakati dunia ikiwa na wanaume wengi wasahaulifu sana, ila huko Samoa wamepata suluhu yake. Huko mume hatakiwi kusahau siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya mke wake.

Na itambidi kujibu kwanini amesahau kumbukizi hiyo, na hii inaweza kumpelekea kuwekwa rumande na kupigwa faini.

7. Ni marufuku kulisha njiwa ndani ya Venice Italia.

IMG_0178.jpg

Kama ukitembelea mji wa Venice basi utakutana na utaratibu wa ajabu, hakuna kulisha njiwa, na ukivunja sheria hiyo uapigwa faini ya euro 700.

6. Kutumia neno la siri moja kwenye mtandao wa filamu wa Netflix ukiwa Tennessee Marekani ni kosa.

IMG_0177.png

Jimbo la Tennessee lina sheria ya ajabu sana, sio ruhusa kutumia neno la siri moja la mtandao wa Netflix, hii ni ajabu kwa sababu wao Netflix wanaruhusu mpaka watu wanne kupata huduma kwa wakati mmoja.
Kwa Tennessee ukakutwa na kosa hili basi jiande na faini ya dol elfu mbili mia tano na mwaka mmoja jela.

5. Ni marufuku kwa mke wa mtu kulewa ukiwa Bolivia haswa Mji wa La Paz.
La Paz huruhusu glasi moja tu ya mvinyo kwa mwanamke aliyeolewa ila kama upo single piga maji tu. Wao wanaamini kuwa mvinyo humpa mwanamke wakati mgumu akishalewa.

IMG_0176.jpg

4. Marufuku kupanda au kukwea miti ukiwa Canada.

IMG_0175.jpg

Unajikuta nyani au kima ehh ila ukiwa kwenye mji wa Ontario jiandae kutoa faini mpaka dola mia tatu ukikutwa umekwea mti. Kukwea mitini kwa ajili ya watafiti na walio na vibali tu. Miti inapewa heshima kubwa sana.

3. Marufuku kuwa mnene ndani ya Japani.

IMG_0174.jpg

Vibonge mna kazi sana mkienda Japani, wao ni watu ambao wameweka sheria ya kutokuwa mnene kabsa. Hii ni sheria ya Metabo ambayo inawalazimu watu wenye umri kati ya miaka 40 mpaka 74 kwenda kwa daktari kuangalia vipimo vya viuno vyao na unene.

Kama mwanaume utakuwa na zaidi ya inchi 33.5 na mwanamke kuwa na inchi 35.4 jiandae kutoa faini. Unene waachie wapigana mieleka (sumo).

2. Kutafuna jojo hadharani ndani ya nchi ya Singapore ni marufuku.

IMG_0172.jpg

Marufuku hii iliwekwa mwaka 1992, na kosa hili adhabu yake ni jela mwaka mmoja mpaka miaka miwili na faini ya dola laki moja. Na waliweka sheria hii ili kulinda mazingira, waliona kuwa jojo huchukua muda kuoza.

Mwaka 2010 Waziri Mkuu wa Singapore, Lee Kuan Yew akiwa kwenye mahojiano na kituo cha BBC alisema kuwa, kutafuna jojo ni kosa kisheria na kama kuna ulazima wa kuchezesha kinywa basi tafuna ndizi.

Sheria hii ililegezwa mwaka 2004 pale ambapo waliruhusu utafunaji wa jojo kwa sababu tu za Kitabibu, tena ukiwa na ruhusa ya daktari.

1. Ni marufuku kubadilisha bulb yako ukiwa Victoria, Australia.

IMG_0171.jpg

Ukiwa Victoria, Australia ilikuhitaji kuwa na leseni ya kukupa uwezo wa kubadilisha bulb yako ndani, na ukivunja sheria hii ungelazimika kulipa dola 10, ukihitaji kutoa bulb muite fundi ambaye anajua namna ya kutoa huduma hiyo.

NB: ebu weka sheria ya ajabu ambayo umepata kuisikia, tufurahi pamoja [emoji2]

Kwako [mention]Mshana Jr [/mention] [mention]Da Vinci XV [/mention] na wengine…
 
Habari Wanajukwaa!

Dunia ina watu takribani bilioni 7 huku wakiwa wamegawanyika kwenye mabara saba; Asia, Afrika, America ya Kaskazini, America ya Kusini, Antarctica, Ulaya, pamoja na Australia huku wakiwa na tamaduni kadha wa kadha, kuanzia utofauti wa chakula pamoja na mavazi, pia lugha na mtindo wa maisha kwa ujumla.

Katika hilo ndipo kukawa na sheria na miiko mbalimbali katika jamii hizo, hapo ndo ikaja tofauti kati ya Nijeria na India, Mexico na New Zealand na kadhalika.

Ila kuna nchi zina sheria ambazo ni ajabu sana na wengi wamejikuta wakifanya tofauti; na inatakiwa kutambua kabla hujaenda kutembelea nchi hizo.

10. Mbwa wako akijisaidia huko Capri Italia na ukaacha kusafisha kinyesi, ni kosa.

View attachment 2610298

Uongozi wa eneo hili uliweka sheria hii ili kuweka mji kuwa safi kwa ajili ya watalii na wakazi. Hivyo mbwa wako akijisaidia basi safisha maana ukijifanya mwamba ukakimbia basi watapeleleza DNA za kinyesi hicho mpaka kwa mbwa wako na utalipa dola elfu mbili na mia nne.

9. Ukiwa Uswizi acha mzigo ukielea sio ruhusa kuflash choo usiku wa manane.

View attachment 2610300

Kwa wakazi wengi wa Uswisi ni heri ukaacha kila kitu kikielea kuliko kuflash maana ni moja ya kero na usumbufu kwa waliopumzika usiku. Kuflash choo kuanzia saa 4 usiku ni kosa kwa sheria za Uswizi.

8. Kusahau siku ya kuzaliwa ya mke wako ni kosa ukiwa Samoa.

View attachment 2610301

Wakati dunia ikiwa na wanaume wengi wasahaulifu sana, ila huko Samoa wamepata suluhu yake. Huko mume hatakiwi kusahau siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya mke wake.

Na itambidi kujibu kwanini amesahau kumbukizi hiyo, na hii inaweza kumpelekea kuwekwa rumande na kupigwa faini.

7. Ni marufuku kulisha njiwa ndani ya Venice Italia.

View attachment 2610304

Kama ukitembelea mji wa Venice basi utakutana na utaratibu wa ajabu, hakuna kulisha njiwa, na ukivunja sheria hiyo uapigwa faini ya euro 700.

6. Kutumia neno la siri moja kwenye mtandao wa filamu wa Netflix ukiwa Tennessee Marekani ni kosa.

View attachment 2610305

Jimbo la Tennessee lina sheria ya ajabu sana, sio ruhusa kutumia neno la siri moja la mtandao wa Netflix, hii ni ajabu kwa sababu wao Netflix wanaruhusu mpaka watu wanne kupata huduma kwa wakati mmoja.
Kwa Tennessee ukakutwa na kosa hili basi jiande na faini ya dol elfu mbili mia tano na mwaka mmoja jela.

5. Ni marufuku kwa mke wa mtu kulewa ukiwa Bolivia haswa Mji wa La Paz.
La Paz huruhusu glasi moja tu ya mvinyo kwa mwanamke aliyeolewa ila kama upo single piga maji tu. Wao wanaamini kuwa mvinyo humpa mwanamke wakati mgumu akishalewa.

View attachment 2610307

4. Marufuku kupanda au kukwea miti ukiwa Canada.

View attachment 2610309

Unajikuta nyani au kima ehh ila ukiwa kwenye mji wa Ontario jiandae kutoa faini mpaka dola mia tatu ukikutwa umekwea mti. Kukwea mitini kwa ajili ya watafiti na walio na vibali tu. Miti inapewa heshima kubwa sana.

3. Marufuku kuwa mnene ndani ya Japani.

View attachment 2610313

View attachment 2610316

View attachment 2610317

Sheria ya kutopiga horn Hong kong ,, hii niliipenda mno. Mji uko kimya utafikiri hauna magari maana huwezi sikia horn hata moja
 
Ni kinyume cha sheria kujamba mahali pa umma baada ya saa kumi na mbili jioni siku ya Alhamisi huko Florida. ...

Ni kinyume cha sheria kupiga nyimbo za wasanii wengi wasio wa Kanada kwenye redio ya Kanada. ...

Ni kinyume cha sheria kutotembea na mbwa wako angalau mara tatu kwa siku huko Turin, Italia. ...

Lazima umruhusu mtu yeyote kutumia choo chako akiuliza huko Scotland.
 
Shukrani kwa madini mkuu
 
Habari Wanajukwaa!

Dunia ina watu takribani bilioni 7 huku wakiwa wamegawanyika kwenye mabara saba; Asia, Afrika, America ya Kaskazini, America ya Kusini, Antarctica, Ulaya, pamoja na Australia huku wakiwa na tamaduni kadha wa kadha, kuanzia utofauti wa chakula pamoja na mavazi, pia lugha na mtindo wa maisha kwa ujumla.

Katika hilo ndipo kukawa na sheria na miiko mbalimbali katika jamii hizo, hapo ndo ikaja tofauti kati ya Nijeria na India, Mexico na New Zealand na kadhalika.

Ila kuna nchi zina sheria ambazo ni ajabu sana na wengi wamejikuta wakifanya tofauti; na inatakiwa kutambua kabla hujaenda kutembelea nchi hizo.

10. Mbwa wako akijisaidia huko Capri Italia na ukaacha kusafisha kinyesi, ni kosa.

View attachment 2610298

Uongozi wa eneo hili uliweka sheria hii ili kuweka mji kuwa safi kwa ajili ya watalii na wakazi. Hivyo mbwa wako akijisaidia basi safisha maana ukijifanya mwamba ukakimbia basi watapeleleza DNA za kinyesi hicho mpaka kwa mbwa wako na utalipa dola elfu mbili na mia nne.

9. Ukiwa Uswizi acha mzigo ukielea sio ruhusa kuflash choo usiku wa manane.

View attachment 2610300

Kwa wakazi wengi wa Uswisi ni heri ukaacha kila kitu kikielea kuliko kuflash maana ni moja ya kero na usumbufu kwa waliopumzika usiku. Kuflash choo kuanzia saa 4 usiku ni kosa kwa sheria za Uswizi.

8. Kusahau siku ya kuzaliwa ya mke wako ni kosa ukiwa Samoa.

View attachment 2610301

Wakati dunia ikiwa na wanaume wengi wasahaulifu sana, ila huko Samoa wamepata suluhu yake. Huko mume hatakiwi kusahau siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya mke wake.

Na itambidi kujibu kwanini amesahau kumbukizi hiyo, na hii inaweza kumpelekea kuwekwa rumande na kupigwa faini.

7. Ni marufuku kulisha njiwa ndani ya Venice Italia.

View attachment 2610304

Kama ukitembelea mji wa Venice basi utakutana na utaratibu wa ajabu, hakuna kulisha njiwa, na ukivunja sheria hiyo uapigwa faini ya euro 700.

6. Kutumia neno la siri moja kwenye mtandao wa filamu wa Netflix ukiwa Tennessee Marekani ni kosa.

View attachment 2610305

Jimbo la Tennessee lina sheria ya ajabu sana, sio ruhusa kutumia neno la siri moja la mtandao wa Netflix, hii ni ajabu kwa sababu wao Netflix wanaruhusu mpaka watu wanne kupata huduma kwa wakati mmoja.
Kwa Tennessee ukakutwa na kosa hili basi jiande na faini ya dol elfu mbili mia tano na mwaka mmoja jela.

5. Ni marufuku kwa mke wa mtu kulewa ukiwa Bolivia haswa Mji wa La Paz.
La Paz huruhusu glasi moja tu ya mvinyo kwa mwanamke aliyeolewa ila kama upo single piga maji tu. Wao wanaamini kuwa mvinyo humpa mwanamke wakati mgumu akishalewa.

View attachment 2610307

4. Marufuku kupanda au kukwea miti ukiwa Canada.

View attachment 2610309

Unajikuta nyani au kima ehh ila ukiwa kwenye mji wa Ontario jiandae kutoa faini mpaka dola mia tatu ukikutwa umekwea mti. Kukwea mitini kwa ajili ya watafiti na walio na vibali tu. Miti inapewa heshima kubwa sana.

3. Marufuku kuwa mnene ndani ya Japani.

View attachment 2610313

Vibonge mna kazi sana mkienda Japani, wao ni watu ambao wameweka sheria ya kutokuwa mnene kabsa. Hii ni sheria ya Metabo ambayo inawalazimu watu wenye umri kati ya miaka 40 mpaka 74 kwenda kwa daktari kuangalia vipimo vya viuno vyao na unene.

Kama mwanaume utakuwa na zaidi ya inchi 33.5 na mwanamke kuwa na inchi 35.4 jiandae kutoa faini. Unene waachie wapigana mieleka (sumo).

2. Kutafuna jojo hadharani ndani ya nchi ya Singapore ni marufuku.

View attachment 2610316

Marufuku hii iliwekwa mwaka 1992, na kosa hili adhabu yake ni jela mwaka mmoja mpaka miaka miwili na faini ya dola laki moja. Na waliweka sheria hii ili kulinda mazingira, waliona kuwa jojo huchukua muda kuoza.

Mwaka 2010 Waziri Mkuu wa Singapore, Lee Kuan Yew akiwa kwenye mahojiano na kituo cha BBC alisema kuwa, kutafuna jojo ni kosa kisheria na kama kuna ulazima wa kuchezesha kinywa basi tafuna ndizi.

Sheria hii ililegezwa mwaka 2004 pale ambapo waliruhusu utafunaji wa jojo kwa sababu tu za Kitabibu, tena ukiwa na ruhusa ya daktari.

1. Ni marufuku kubadilisha bulb yako ukiwa Victoria, Australia.

View attachment 2610317

Ukiwa Victoria, Australia ilikuhitaji kuwa na leseni ya kukupa uwezo wa kubadilisha bulb yako ndani, na ukivunja sheria hii ungelazimika kulipa dola 10, ukihitaji kutoa bulb muite fundi ambaye anajua namna ya kutoa huduma hiyo.

NB: ebu weka sheria ya ajabu ambayo umepata kuisikia, tufurahi pamoja [emoji2]

Kwako [mention]Mshana Jr [/mention] [mention]Da Vinci XV [/mention] na wengine…
Jirani zetu hapo unakula mbaga bila wasi mchana kweupe
 
Back
Top Bottom