Augustino Fanuel Massongo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 1,279
- 665
Na hili ni moja ya makosa yetu kutegemea opinions za watawala kwenye masuala nyeti yanayoamua mustakhabali wa Taifa to the other grounds mass mobilization is inevitable.Nafikiri alikuwa anaongelea urais kwamba tangu Perot hajasikia independent candidates
Watawala hawawezi kukubali.
Mimi siamini kama yeye ni kigeugeu Ila naona ni mtu mwenye" keen intuitive power "na anaitumia ipasavyo.Shida yako mayalla wewe ni kigeugeu,hata ikitokea siku umeandika kitu cha maana bado tutaona unafanya ukigeu geu.Mwanaume lazima uwe na msimamo katika maisha sio unakuwa wa uvugu vugu.
Nafikiri alikuwa anaongelea urais kwamba tangu Perot hajasikia independent candidates
Mimi si msemaji wa yoyote ila nimewahi msoma mahala humu akiandika kuwa vyeo vya ukuu wa wilaya nk si kitu kwake.Mayalla hem tuambie unayasema haya kwa dhamira yako halisi au kwa sababu umekosa uteuzi
Sidhan kama ungepewa shavu hata la ukuu wa wilaya ungesema haya
Nadhan unatakiwa ujitananbaishe kama ni kweli unadhamira ya uzalendo uungane na wapambanaji na kama ww ni ni mchumia tumbo pia ujipambanue. Hii kitu ya kila siku kusema huna chama si sawa sana.. na sizani kama itakusafisha na makandokando yako
Hv unataka kusema hao wote wanaopapatikia vyeo kila siku unazani hawana hela kulko huyo best ako mayalla?Mimi si msemaji wa yoyote ila nimewahi msoma mahala humu akiandika kuwa vyeo vya ukuu wa wilaya nk si kitu kwake.
Aliendelea kuandika kwamba Kodi ya pango la ofisi ya company yake inaweza kuwa sawa na mshahara wa mkuu wa wilaya, ukiacha mbali watu aliowaajili nk.
Pia nilimsikia pitia TV akiwa Ikulu akiomba awe anapewa mialiko hata ya nnje ya nchi ya waandishi wanaombatana na Ujumbe wa rais kama free journalist na kuhusu gharama za accommodation ni juu yake.
Kwa hiyo hadi hapo nadhani ni sahihi kudhani kwamba yeye si mtu mwenye njaa na anayosema anamaanisha na haitaji fadhila ya vyeo kutoka kwa mamlaka yoyote ili atatue shida zake
Mkuu Chater Master, kwanza ni kweli mimi sina chama, pili naomba nikuelezeMayalla hem tuambie unayasema haya kwa dhamira yako halisi au kwa sababu umekosa uteuzi
Sidhan kama ungepewa shavu hata la ukuu wa wilaya ungesema haya
Nadhan unatakiwa ujitananbaishe kama ni kweli unadhamira ya uzalendo uungane na wapambanaji na kama ww ni ni mchumia tumbo pia ujipambanue. Hii kitu ya kila siku kusema huna chama si sawa sana.. na sizani kama itakusafisha na makandokando yako
Mkuu ChaterMaster, kwanza hakuna mtu ambaye hana shida ya pesa, tena please usiite shida ya pesa, bali ita mahitaji, hakuna binadamu yoyote ambaye hana mahitaji, wala mimi sio tajiri kusema sina shida ya pesa, mimi ni masikini wa kutupwa ila ni masikini jeuri, pango tuu ninalolipa NHC ni Zaidi ya mshahara wa DC, hivyo niutafute u DC ili nipate nini?.Hv unataka kusema hao wote wanaopapatikia vyeo kila siku unazani hawana hela kulko huyo best ako mayalla?
Who is mayala hadi useme hana shda ya hela..
Mkuu Marlex Jr, please funguka...Paskali waweza kuwa si mwanachama wa chama chochote lakini unakereketwa na "sera, itikadi na imani " ya chama moja wapo hapa Tz.
Na hili ni moja ya makosa yetu kutegemea opinions za watawala kwenye masuala nyeti yanayoamua mustakhabali wa Taifa to the other grounds mass mobilization is inevitable.
Yes, katiba ni tatizo, lakini katiba ni ya Wananchi, kwa nini Watanzania tunakubali kuendelea kukubali kutumika kwa sharia mbovu zinazotugharimu?, huu sio ujinga?!, we have to say no to bad laws, lets wake up and say no!.Katiba mbovu wala sio demokrasia.
Alafu Demokrasia gani inaruhusu kununua wanasiasa?