Hiyo ni katika nchi nyingine sio hapa.Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Sasa ww unaona ni haki kutaka urais huku upo nje ya nchi unayotaka kugombea urais?tutajuaje ww kweli umekunywa bendera yetu au umekunywa bendera ya mabeberu.Acheni unafki wakati mnaelewe sana ila mnafumba macho eti kwa sababu mnamchukia JPM.Habari JF siasa.
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Farao/ Firauni.
Sheria mpya ya uchaguzi itawasilishwa bungeni mapema November 2019 au February 2020. Lengo la sheria hii ni kuwabana wagombea urais waghaibu au diaspora ambao wanajipanga kuwania urais.
Sheria hii mpya ya uchaguzi itamtaka Mgombea Urais awe ameishi nchini Tanzania kwa miaka walau miwili mfululuzo hadi kufikia Mwezi August 2020 ili akidhi kigezo cha kupewa Fomu na NEC na hatimaye kugombea urais.
Chanzo changu nyeti serikalini kimeniambia mkakati huu umeiva na nitege sikio Bungeni November 2019 au February 2020.
Mimi nilimkatalia katakata lakini kasimama na msimamo wake.
Nilimuuliza je kama Mtaka urais kasafiri nje ya nchi siku moja au hata wiki mbili ndani ya hiyo miaka miwili itakuwaje?
Alijibu hili halina shida hata kidogo lakini ikiwa ni mwezi au miezi kadhaa basi hapo Mgombea atakosa sifa.
Yangu macho!!
Majibu mazuri wanayo hawa hapaHebu dadavua, maana njuavyo mikutano yake ilikuwa kiduchu sana ikabidi aongeze push ups. Kumbe zilifika mil tatu na nusu, nikiamini ni mil mbili!!!?
MR JPM akishaimba nyimbo za Stiglers amabayo haijaanza ujenzi, Flyover na ndege Sita za dreamliner basi hana jipya. Miradi michche ambayo mpaka sasa haina hata thamani ya Trilioni 5 kwa miaka minne.Uwezo wa lissu kumiliki jukwaa na kushawishi Ni mkubwa sana.jpm hawezi shindana na lissu kamwe.
Wamesahau yaliyomkuta Lowasa mpaka leo hana hamu, ni mmoja wa wazee waliofanya monopolism ya vyombo vya dola akiamini miaka yote Vitamsaidia kufika mbele dhidi ya wapinzani. Hakuwahi kufikiria ipo siku atakuwa mpinzani na vyombo hivyo hivyo kwa nguvu ile ile vitamshughulikia. Akapigwa pini hata kwenda kwenye mazishi, akapigwa pini kifanya siasa za aina yoyote. Jasho likamtoka, mimacho akaitoa kama panya kwenye mlango kabanwa. wakambinya kisawasawa hatimae akaunga juhudi bila kupenda.natambua ya kuwa hizo sheria wanajitungia wenyewe tuu..
ila kwa upofu wa madaraka hawakumbuki,ya kuwa hawakuzaliwa na vyeo na wataviacha.!
wapi Nape,Mwigulu au wale wastaafu wanaolialia kuonewa na huku sheria walipitisha wenyewe!!
No. ni diaspora woteSheria hii inamhusu Lissu kuelekea 2020 huhitaji Phd kulijua hilo.
Hiyo ana msononeko, akipoa atasema mengiKwani February yukwapi? Si aje aseme ukweli?
Sheria mpya ya uchaguzi itawasilishwa bungeni mapema November 2019 au February 2020. Lengo la sheria hii ni kuwabana wagombea urais waghaibu au diaspora ambao wanajipanga kuwania urais.
Sheria hii mpya ya uchaguzi itamtaka Mgombea Urais awe ameishi nchini Tanzania kwa miaka walau miwili mfululuzo hadi kufikia Mwezi August 2020 ili akidhi kigezo cha kupewa Fomu na NEC na hatimaye kugombea urais.
Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Kama ni kweli hiyo siyo mammbo ya Firauni! Nchi nyingi duniani kuna sheria kama hiyo na hata kupiga kura. Let us not transmit our ignorance to the society.Habari JF siasa.
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Farao/ Firauni.
Sheria mpya ya uchaguzi itawasilishwa bungeni mapema November 2019 au February 2020. Lengo la sheria hii ni kuwabana wagombea urais waghaibu au diaspora ambao wanajipanga kuwania urais.
Sheria hii mpya ya uchaguzi itamtaka Mgombea Urais awe ameishi nchini Tanzania kwa miaka walau miwili mfululuzo hadi kufikia Mwezi August 2020 ili akidhi kigezo cha kupewa Fomu na NEC na hatimaye kugombea urais.
Chanzo changu nyeti serikalini kimeniambia mkakati huu umeiva na nitege sikio Bungeni November 2019 au February 2020.
Mimi nilimkatalia katakata lakini kasimama na msimamo wake.
Nilimuuliza je kama Mtaka urais kasafiri nje ya nchi siku moja au hata wiki mbili ndani ya hiyo miaka miwili itakuwaje?
Alijibu hili halina shida hata kidogo lakini ikiwa ni mwezi au miezi kadhaa basi hapo Mgombea atakosa sifa.
Yangu macho!!
Ha ha mshujuruni kikwete kina a nape makamba kwa kukwapua ushindi Magufuli ni bad test na sasa ni more bad test hata kula milioni moja hata pats muuaji mkubwaWapinzani kwa jipya moyo ,nakumbuka baada ya kipigo cha October 2015 mliampa hamuendi kupiga kura tena ,sasa hii nguvu ya Azam energy mmeitoa wapi