Sheria ya ndoa kwa wanaoitwa watoto

haszu

JF-Expert Member
Oct 10, 2017
837
1,550
Je sheria ya ndoa tanzania inasemaje kuhusu bint chini ya miaka 18 na juu ya miaka 16 ( 16=<18 )aliefeli shule? Akiwa hana cha kufanya yafaa kuolewa? If no kwanini? Afanyeje mtaani?
 
mpeleke hata veta akasomee hata kupika hadi akifikisha umri wa miaka 18 hapo utamuoa bila usumbufu
 
Umepata kitu ya aina hiyo? Kwa msaada zaidi Google Law of marriage Act.
 
Je sheria ya ndoa tanzania inasemaje kuhusu bint chini ya miaka 18 na juu ya miaka 16 ( 16=<18 )aliefeli shule? Akiwa hana cha kufanya yafaa kuolewa? If no kwanini? Afanyeje mtaani?
Miaka 16 anaolewa kwa ridhaa ya wazazi wake lakni kama bado ni mwanafunzi sheria ya elimu itakukamata.Ikiwa mtoto huyu hana wazazi,mahakama yaweza kutoa idhini.
 
Back
Top Bottom