Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,153
- 162,568
Hivi kiuhalisia sheria hii inatekelezeka?
Ni kituo gani cha kura kiko isolated kiasi hicho?
Kwa mazingira ya nchi yetu na jinsi vituo vingi vya kura vilivyokaa,utamshawishi vipi Jaji(kumbuka kesi teyari iko mahakani) akuelewe unapotaka kusimamia utekelezaji wa sheria hii?
Hapa Usa-River mkoani Arusha kwa mfano,kuna kituo kiko jirani na soko na cha zaidi ni kuwa,hiyo siku ya kupiga kura ambayo ni Jumapili,siku hiyo ni siku ya soko kwa soko la hapa Usa-River.Sasa katika mazingira haya,sheria hii utaitekelezaje?
Kwa mtazamo wangu,hii sheria is a dead letter by itself and will always be so.