mzeewamakavu
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 112
- 32
sawa tuko tayari.tutasubiri matokeo tukiwa mita 200 kwa mujibu wa sheria na kama ilivyokua katika chaguzi zilizopita.swala la eti piga kura alafu kalale sijaona logic yake bado.
Labda Yale malori yanayobeba watu kwenye kampeni za CCM siku ya kupiga kura Mwenyekiti wa CCM ayapangie kazi ya kusomba watu kutoka majumbani mwao na kwenda kuwaficha wanakojua hadi jioni maana vituo vya kupigia kura viko kwenye makazi ya watu. Hakuna akili ilotumika katika hili