sheria ya mirathi ya sasa..!

Apr 27, 2013
53
23
wadau naombeni mnisaidei kupata hii sheria ya mirathi maana kuna vitu vinanichanga sana..!
i) ya dini
ii)ya nchi,
na
iii)kikabila je zote hizi zinasemaje na mwongozo ukoje ikiwa baba hajandika mirathi kwa watoto..!
 
my friend, umefika mahali penyewe, sheria hizo zote za mirathi kwa dini, kimila na kiserikali zimewekwa kwenye kitabu kimoja kinaitwa SHERIA KWA KISWAHILI, utakipata kitabu hiki pale TPH bookshop dsm, sijui wewe uko wapi, tembelea blog hii bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI utapata kitabu hicho. mle ndani kuna sheria zote hizo zimeandikwa kwa kiswahili, sheria za mirathi, sheria za wosia, sheria ya ndoa tz, sheria ya watoto na baadhi ya jinai.

SHERIA KWA KISWAHILI

View attachment 115524

View attachment 115525View attachment 115525
 
Hiki kitabu ni kizuri kwakweli, kina ufafanuzi mzuri.
 
Back
Top Bottom