Sheria ya makampuni inaruhusu mmiliki mmoja (share holder) ?

Sheria ya makampuni inaruhusu mmiliki mmoja (share holder) ?

Kampuni yoyote haiwezi kuwa na shareholder mmoja lazima waanzie wawili, private company wasizidi 50, na public haina mipaka.
Mtoto hana capacity ya kuingia kwenye mkataba
Kuwa shareholder ni jambo la kimkataba. Ila kupitia kwa next friend anaweza kuingia kwenye mkataba endapo tu mkataba ni kwa maslahi yake kama huduma za shule n.k
je inaweza kuwa na director mmoja?
 
Back
Top Bottom