sheria ya mahakama ya mahakimu

neyl

Senior Member
Nov 23, 2011
127
19
habari wapendwa, nina swali naomba msaada natafuta sheria ya mahakama ya mahakimu eti naweza nikazipata wapi maana kwenye mtandao wa bunge sijaona
 
habari wapendwa, nina swali naomba msaada natafuta sheria ya mahakama ya mahakimu eti naweza nikazipata wapi maana kwenye mtandao wa bunge sijaona

Nenda duka la vitabu vya serikali ulizia " the Magistrates Courts Act CAP 11 RE 2002. duka lipo manispaa ya ilala, mkoa wa Dar es salaam, mtaa wa jamhuri, opposite parking ya Benjamin Mkapa Tower.
 
Back
Top Bottom