JackisonDubai
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 537
- 1,274
- Thread starter
- #21
Huna akiliPoor, hiyo ni pesa ya mgodi mmoja pekee kwa mwaka, tuna migodi mingapi? CCM wanaiba vibaya sn
Huna akiliPoor, hiyo ni pesa ya mgodi mmoja pekee kwa mwaka, tuna migodi mingapi? CCM wanaiba vibaya sn
Kwani TL alipinga sheria au alipinga kuvunja mikataba ambayo ilishaingiwa kwamba itatugharimu na ni kweli? Hakuna anayeweza kupinga sheria nzuri, labda kipengere fulani kwenye sheria ambacho ni tata. Si unaona hata mkataba wa DP World? Siyo kwamba watu wanapinga mkataba mzima, bali vipengere vyenye utata tu. Hivyo, jaribu kuwa unasikiliza vizuri kuelewa mtu anasema nini kuliko kutoa 'blanket condemnation'.Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa Serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo.
Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye mfuko mkuu wa serikali.
Ikumbukwe Tundu Lisu na Chadema Kwa ujumla waliongoza kwa kuipinga Sheria hii Hadi wakafikia hatua ya kuiita kamati professional rubbish!
Hata hicho kiasi kidogo Lisu alipinga tusipateNi kiasi kidogo sana hiki, tungeenda anavyotaka Lissu ingekuwa mara 10,000 yq hiyo
Mikataba ilivunjwa, je tumeshitakiwa MIGA?Kwani TL alipinga sheria au alipinga kuvunja mikataba ambayo ilishaingiwa kwamba itatugharimu na ni kweli? Hakuna anayeweza kupinga sheria nzuri, labda kipengere fulani kwenye sheria ambacho ni tata. Si unaona hata mkataba wa DP World? Siyo kwamba watu wanapinga mkataba mzima, bali vipengere vyenye utata tu. Hivyo, jaribu kuwa unasikiliza vizuri kuelewa mtu anasema nini kuliko kutoa 'blanket condemnation'.
Mnapotosha kwa faida gani? Mzungu anamiliki 84% sasa mmebadilisha nini? Nachofahamu soko la dhahabu lilipanda 2017 so haina uhusiano na sheria ila price fluctuations na seasonal demands.Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa Serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo.
Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye mfuko mkuu wa serikali.
Ikumbukwe Tundu Lisu na Chadema Kwa ujumla waliongoza kwa kuipinga Sheria hii Hadi wakafikia hatua ya kuiita kamati professional rubbish!
Ndio tumeshtakiwa na tayari tumeshindwa kesi 4 kati ya 10. Tumelipishwa billion 300 mpaka sasa bad kesi 6 zenye madai ya zaidi ya TZS Trillion 2.Mikataba ilivunjwa, je tumeshitakiwa MIGA?
Unajua tuna kesi ngapi huko nje za kuvunja mikataba na kudaiwa mabilioni? Unaishi wapi wewe? Au ndio zile akili za Bashite!Mikataba ilivunjwa, je tumeshitakiwa MIGA?
Mlipinga tulizeni mshono wauuzi nyieMnapotosha kwa faida gani? Mzungu anamiliki 84% sasa mmebadilisha nini? Nachofahamu soko la dhahabu lilipanda 2017 so haina uhusiano na sheria ila price fluctuations na seasonal demands.
Acha uongo tulidai trillion 400 tukaambulia Billion 700 ya kishika uchumba pekee!! Na Kabudi alikiri ripoti ilikua feki kama tu alivyosema Lissu. Cha ajabu hao hao mlioita wezi mkawapa 84% ya kampuni!! Makinikia bado mkakubali yasafirishwe nje sijaona hata mlichobadilisha.Hata hicho kiasi kidogo Lisu alipinga tusipate
Acacia iko wapi? Je tumefilisiwa kama alibyokuwa akisema yule kubwa jinga wenu?Ndio tumeshtakiwa na tayari tumeshindwa kesi 4 kati ya 10. Tumelipishwa billion 300 mpaka sasa bad kesi 6 zenye madai ya zaidi ya TZS Trillion 2.
Welcome to Winshear Gold Corp. Website
winshear.com
Ujuaji umetucost
Ndio tulipinga maana mlikurupuka wakati nyie ndio mlituingiza kwenye mess. Mfano sheria ilitaka kesi zisikilizwe Tanzania, makinikia yasisafirishwe, retention licence zifuate sheria mpya hayo yote sio tu mlikuja ammend kwenye bunge ila yametuletea hasara ya billion 300 mpaka tunavyoongea huku kesi 6 ikiwemo ya Barrick zikinguruma.Mlipinga tulizeni mshono wauuzi nyie
Na wewe wanakufokoa hapo hapo lumumba?Mjinga mwenzio amerudi Kwa Basha wake
Acacia si subsidiary imekua Twiga minerals.... ndio tumefilisiwa billion 300 na bado kesi 6 zenye madai ya dollar bilioni 1 yaani trillion 2 zinanguruma.Acacia iko wapi? Je tumefilisiwa kama alibyokuwa akisema yule kubwa jinga wenu?
Umempatia kweli huyu Etwege bado anaishi enzi za giza za yule dhalim.Acacia si subsidiary imekua Twiga minerals.... ndio tumefilisiwa billion 300 na bado kesi 6 zenye madai ya dollar bilioni 1 yaani trillion 2 zinanguruma.
Nimekupa link kasome hizo kesi ndio urudi kuongea pumba. Unadhani hii ni Facebook?
Upo sahihi dada anguHuna akili
Mikataba ilivunjwa. Je, hakuna kesi ambazo tunadaiwa?Mikataba ilivunjwa, je tumeshitakiwa MIGA?