Sheria ya madini iliyopinga na Lissu yaingiza matrilioni ya fedha Serikalini

Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa Serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo.

Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye mfuko mkuu wa serikali.

Ikumbukwe Tundu Lisu na Chadema Kwa ujumla waliongoza kwa kuipinga Sheria hii Hadi wakafikia hatua ya kuiita kamati professional rubbish!
Kwani TL alipinga sheria au alipinga kuvunja mikataba ambayo ilishaingiwa kwamba itatugharimu na ni kweli? Hakuna anayeweza kupinga sheria nzuri, labda kipengere fulani kwenye sheria ambacho ni tata. Si unaona hata mkataba wa DP World? Siyo kwamba watu wanapinga mkataba mzima, bali vipengere vyenye utata tu. Hivyo, jaribu kuwa unasikiliza vizuri kuelewa mtu anasema nini kuliko kutoa 'blanket condemnation'.
 
Mikataba ilivunjwa, je tumeshitakiwa MIGA?
 
Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa Serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo.

Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye mfuko mkuu wa serikali.

Ikumbukwe Tundu Lisu na Chadema Kwa ujumla waliongoza kwa kuipinga Sheria hii Hadi wakafikia hatua ya kuiita kamati professional rubbish!
Mnapotosha kwa faida gani? Mzungu anamiliki 84% sasa mmebadilisha nini? Nachofahamu soko la dhahabu lilipanda 2017 so haina uhusiano na sheria ila price fluctuations na seasonal demands.
 
Mlipinga tulizeni mshono wauuzi nyie
 
Hata hicho kiasi kidogo Lisu alipinga tusipate
Acha uongo tulidai trillion 400 tukaambulia Billion 700 ya kishika uchumba pekee!! Na Kabudi alikiri ripoti ilikua feki kama tu alivyosema Lissu. Cha ajabu hao hao mlioita wezi mkawapa 84% ya kampuni!! Makinikia bado mkakubali yasafirishwe nje sijaona hata mlichobadilisha.
 
Mlipinga tulizeni mshono wauuzi nyie
Ndio tulipinga maana mlikurupuka wakati nyie ndio mlituingiza kwenye mess. Mfano sheria ilitaka kesi zisikilizwe Tanzania, makinikia yasisafirishwe, retention licence zifuate sheria mpya hayo yote sio tu mlikuja ammend kwenye bunge ila yametuletea hasara ya billion 300 mpaka tunavyoongea huku kesi 6 ikiwemo ya Barrick zikinguruma.

Mpunguze ujuaji, Lissu anaona miaka 50 mbele sio wa kumbishia anaposhauri
 
Acacia iko wapi? Je tumefilisiwa kama alibyokuwa akisema yule kubwa jinga wenu?
Acacia si subsidiary imekua Twiga minerals.... ndio tumefilisiwa billion 300 na bado kesi 6 zenye madai ya dollar bilioni 1 yaani trillion 2 zinanguruma.

Nimekupa link kasome hizo kesi ndio urudi kuongea pumba. Unadhani hii ni Facebook?
 
..
1664915659087.jpg
 
Umempatia kweli huyu Etwege bado anaishi enzi za giza za yule dhalim.
 
Back
Top Bottom