Sheria ya kumshitaki mwanamke aliyebeba mimba yako bila idhini yako/makusudi

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,931
3,254
Hivi nyie wataalam wa sheria kuna nchi yoyote inayotumia common law system yenye sheria ya kumshitaki mwanamke aliyebeba mimba yako makusudi bila ridhaa ya mwanamme mwenye mbegu?
 
Mkuu una uhakika ni mimba yako!!!? sio kwa kuwa tu kakwambia ndo uwe na uhakika. Wengi wamesingiziwa....
 
Ulipotumbukiza Mkonga wako kwny Kipochi akili yako iliwaza "kutapikia" humo tu hukuwaza matokeo ya "Matapishi" hayo!
 
Hivi nyie wataalam wa sheria kuna nchi yoyote inayotumia common law system yenye sheria ya kumshitaki mwanamke aliyebeba mimba yako makusudi bila ridhaa ya mwanamme mwenye mbegu?
Hiv nikuulize nani anapaswa kuwa makini kati yenu. Ukimshtaki ukapimwe akili [[/IMG]
 
Hiv nikuulize nani anapaswa kuwa makini kati yenu. Ukimshtaki ukapimwe akili [[/IMG]
Anza na kujiuliza nani anajua kuwa akijamiiana kipindi flan atapatwa ujauzito. Ndo utajua nani anapaswa kuwa makin zaid. Je hujafikiria ukimuuliza mhesabu akakudanganya? Kumbuka hoja yangu ni mwanamke kubeba mimba makusudi BILA IDHINI yako.
 
Na kihalisia sio kila mwanamke anafaa kukuzalia mtoto, huo ndo ukweli mchungu, sasa anapotaka mtoto na wewe kwa sababu zozote zile anafanya makusudi. na ongea kutokana na experience niliyonayo baada ya kutokewa na ishu ya hivyo
Bas tu kwa vile wanawake wanaendesha dunia hili suala haliangaliwi wanaume hatunaga mtetezi (na ndo mfano pekee mtu kutengeneza kiumbe lakin kikamzid maarifa) Nafikiria zanzibar waliona mbali kama mvulana na msichana wamepeana mimba wote kushitakiwa. Pia hata sheria ya muambukiza HIV makusudi kushtakiwa ina mwelekeo huohuo la naye angejitetea vizuri tu. Mtoto si jambo dogo kumleta dunian. Kutegesheana kujinaishwe!
 
bwana
HAPO NASHANGAA MTU YUKO DANGER ZONE HAKUAMBII MTUMIE KONDOMU
weee, yaani acha tuu...mie naona kweli itungwe sheria...kama mwanaume hajakwambia kwa mdomo wake mwenyewe kuwa anataka umzalie basi mwanamke yupo solely responsible na hiyo mimba
 
Ulipotumbukiza Mkonga wako kwny Kipochi akili yako iliwaza "kutapikia" humo tu hukuwaza matokeo ya "Matapishi" hayo!

bwana wewe two wrongs dont make a right. sasa tulishabugi kwa kugegedana bila ndomo wewe nae mwanamke unabugi kwa kutokuhakikisha kuwa hubebi mimba
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom