Forecaster
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 209
- 121
Kuna hoteli huwa napenda kushukia mara kwa mara ktk safari zangu za kikazi! Leo wameniudhi Sana ile katika Nakabidhi funguo, mhudumu anasema akakague chumnba kwanza! Sasa nafikiria wanafikiri nimewaibia nini! Taulo, Tv, au nini? yani wameniudhi! na sitaenda tena ktk hoteli Yao!! Wamiudhi!