Uchaguzi 2020 Sheria ya Gharama za Uchaguzi namba 6 (2010)

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Sep 11, 2020
69
104
Kifungu cha 24 kifungu kidogo cha 4 kinaeleza kuwa; Iwapo Msajili wa Vyama vya Siasa ataridhika kuwa mgombea ambaye yeye mwenyewe, wakala wake au chama chake cha siasa kimefanya vitendo vilivyokatazwa na Sheria ambapo kwa hilo mgombea huyo au chama chake kimepoteza sifa ya kushiriki kwenye mchakato wa uteuzi, msajili atafanya yafuatayo:

(a) Kama ni mgombea, Msajili atakitaarifu chama chake kuteua mgombea mwingine kama mbadala wa huyo aliyekosa sifa.

(c) Kama ni chama, Msajili atakitaarifu chama hicho kuwa kimezuiliwa kumdhamini mgombea ndani ya Kata, Jimbo au nafasi ya Urais.
 
Wanahangaika na Lissu hawa; kakitabu ka maadili wamekatunga wenyewe sasa hivi kanawahenyesha kukatafasiri.
 
Yanamuhusu Membe nini ?
Au siyo peke yake?
Hata akina mzee wa ubwabwa na ADC
 
Back
Top Bottom