Sheria tano za mchepuko salama

Alietoa tangazo la mchepuko noma anakutana na challenges nyingi sana, hii ni mmoja wapo.
 

Mhhhh hapo unang'ata na kupuliza mkuu:iamwithstupid:
 
Labda kwa mwanamke asiyejielewa thamani yake yeye binafsi ndo atashtuka na kuona mumewe alistahili kuchepuka.

toka hapa wewe nyie wenyewe tukitambulisha marafiki wakike hotter than u mwaanza kuwa worried....its just human nature damnn it ata mie mke wangu akini introduce kwa rafiki yake wa kiume handsome nitakuwa uncomfortable
 
He ningekuchANA ila metoka ban Leo hongera sana kaka
 
hii sikuiona jana looh roho inaniuma kama mwanafunzi wa boarding kamis msosi siku ya wali duhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…