Sheria mpya ya ndoa: Bei ya mahari elekezi

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,328
7,774
Just thinking loud if :-

*MARRIAGE AND BRIDE PRICE ACT NO 123 OF 20...... year*

Bride Price Must not Be More than TZS 700,000/- With the following deductions:-

- Not Educated (TZS 100,000/-)
- Not a Virgin (TZS 250,000/-)
- Comes With Kids (TZS 80,000 * Number of Kids)
- Can't Clean (TZS 80,000/-)
- Can't Cook (TZS 50,000/-)
- Unemployed (TZS 70,000/-)
- Lazy (TZS 50,000/-)
- Drunkard (TZS 70,000/-)
- Artificial Skin Color (TZS 50,000/-)
- Artificial Buttocks (TZS 50,000/-)
- Artificial Breasts (TZS 50,000/)

If a Total Comes to a Negative Amount They Should Pay You for taking their burden...
 
huyo ni ngombe 1 sasa wale wa ngo'ombe.10 au 15 hapo itakuwaje wasiowe kuna Makabila pesa hawana kazi nazo zaidi ya Ngombe .Mbuzi Nk
 
What if the man is not virgin as well, an educated and irresponsible?
Kama bikra inathamani kwa nini iwe kwa upande wa wanawake tu? Za wanaume hazina thamani?
Yule mwanaume anaeoa huku tayari ana watoto, anamlipa nini mama wa watu?
 
Mbona sijaona kipengere cha kodi. Ni lazima ikatwe kodi stahiki.
 
What if the man is not virgin as well, an educated and irresponsible?
Kama bikra inathamani kwa nini iwe kwa upande wa wanawake tu? Za wanaume hazina thamani?
Yule mwanaume anaeoa huku tayari ana watoto, anamlipa nini mama wa watu?

Mkuu huwezi kumpangia muowaji, maana ndiye anayetoa pesa.
 
Nilimuuliza wifey mbona mahari ni kubwa namna iyo, akaniambia eti nikiweza kulipa iyo mahari nakuwa nimeihakikishia familia yao kwamba nina uwezo wa kutunza familia yangu na familia yao itakuwa na amani anapoenda binti yao kuolewa.

Maelezo hayo yaliniridhisha na sikuwa tena na kinyongo cha kulipia hiyo mahari, at the end of the day it's a win win situation because she is an asset.
 
Just thinking loud if :-

*MARRIAGE AND BRIDE PRICE ACT NO 123 OF 20...... year*

Bride Price Must not Be More than TZS 700,000/- With the following deductions:-

- Not Educated (TZS 100,000/-)
- Not a Virgin (TZS 250,000/-)
- Comes With Kids (TZS 80,000 * Number of Kids)
- Can't Clean (TZS 80,000/-)
- Can't Cook (TZS 50,000/-)
- Unemployed (TZS 70,000/-)
- Lazy (TZS 50,000/-)
- Drunkard (TZS 70,000/-)
- Artificial Skin Color (TZS 50,000/-)
- Artificial Buttocks (TZS 50,000/-)
- Artificial Breasts (TZS 50,000/)

If a Total Comes to a Negative Amount They Should Pay You for taking their burden...
not lesbian?
 
What if the man is not virgin as well, an educated and irresponsible?
Kama bikra inathamani kwa nini iwe kwa upande wa wanawake tu? Za wanaume hazina thamani?
Yule mwanaume anaeoa huku tayari ana watoto, anamlipa nini mama wa watu?

Unaweza kupima bikira ya mwanaume?
 
Nilimuuliza wifey mbona mahari ni kubwa namna iyo, akaniambia eti nikiweza kulipa iyo mahari nakuwa nimeihakikishia familia yao kwamba nina uwezo wa kutunza familia yangu na familia yao itakuwa na amani anapoenda binti yao kuolewa.

Maelezo hayo yaliniridhisha na sikuwa tena na kinyongo cha kulipia hiyo mahari, at the end of the day it's a win win situation because she is an asset.

Ulipewa jibu lisiloridhisha.
 
Back
Top Bottom