Sheria Mbovu, Tanzania Imedumaa

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Kilichoidumiza na kinachoendelea kudidimiza Tanzania, ni matokeo ya sheria mbovu katika maeneo mengi yanayoleta tija kwa nchi. Naamini hii template la sheria zetu ni lile la wakati wa mkoloni ambalo lilikuwa na lengo ya mwananchi na jamii kwa ujumla kutopata fursa ya kuendelea kiuchumi na kijamii.

Ni moja la Taifa lenye sheria na outlook mbovu kabisa kila nyanja, leo nitajikita zaidi hasa maeneo ya maswala ya kodi na kazi. Tuna sheria ambazo zimekaaa kinamna ya kudidimiza uchumi wa nchi badala ya kuujenga. Tuna sheria ambazo zinahusudu kuwa na unemployments wengi kuliko employed, Leo nitaongelea bandarini tu kwa mfano mdogo kabisa.

Sisi kama Taifa lazima tuwe na mkakati wa ku create jobs na kuajiri angalau 90% ya population. Sasa itakuwa utovu wa nidhamu ktk uchumi kama serikali ndiyo itakuwa ktk mode ya yenyewe eti ndo ajiri ama i create jobs ndani ya sectors zake ama iwaambie vijana na watanzania wajiajiri, yani wajiajiri bila yenyewe serikali kuwatengenezea mazingira aushi na rahisishi ktk kujiajiri.

Serikali ifanye nini sasa, serikali wali re-visit sheria zote za biashara na kodi ama wazifute ama wazi amend ili ziendane na wakati huu wa ushindani ktk hiki kijiji dunia, ikiwa nia ya ku OPEN UP the bussiness. Una open up bussiness by creating jobs for your people and not hammering your people in the name of sheria au kodi. I mean, the end goal ya sheria zote is to empower your people, and the welfare of your people. Na ikiwa sheria zinafanya kinyume cha end goal delete them, that's all.

Watacreate je ajira kwa mfano, pale bandarini wafute 250% ya tax wanayokata badala yake tax iwe 10% ya bei uliyonunulia huko. Badala ya kupata gari 50 imported per day na wakacharge milion 20 per car per their 250% tax per as we stand today na wakapata milion mia. Kumbe wangecharge 10% wakapata laki 5 per day na zikaingia gari elfu 10 wangepata bilion 5 per day, that is called mass market.
Harafu kwa kufanya hivyo, unakuwa ume create kitovu cha imported products Tanzania yani virtual europe, america, asia in Tanzania. Kwahiyo hizo nchi zote DRC, Zambia , Malawi na nchi zote za Africa watakuwa wanakuja kuchukua bidhaa Tanzania maana hamna umhimu wakwenda europe ama China tena. Kwa hiyo vijana watapata ajira nyingi, maana watakopa pesa milion 3 bank na kuangiza kontena spare za gari wa congo ama wa cameroon watakuja kununua. Na hapo unapata kodi zaidi.

Not only, kwasabau umetengeneza hub ambayo bei ya vitu ni karibu sawa na europe, basi waafrika wengi watakuja kununua vitu, kwa hiyo tayari AIR Tanzania watapata safari na wateja na kuruka ktk hizo nchi za afrika na kuingiza $$$ za kutosha, kwa sababu flip flop in out itakuwa nyingi ya AIR Tanzania will eventually stablize. Kwa kugeuza sheria kidogo tu tunaweza ona matunda ambayo ni tremendous.

Na pia tusidanganyane kwamba nchi inajengwa na wazawa tu huo ni uongo mweupe. Nchi zinajengwa kwa kuchanganya damu, wazawa , pamoja na wageni na wahamiaji. Huwezi fanya intra trade yani ndani ya Tanzania ukasema nchi inafanya biashara, hapo you are fooling yourself as you are trading with yourself. Nchi inafanya biashara when you get in money from outside. Kwahiyo na maeneo hayo pia sheria iangaliwe kwa undani wake.
 
1
 
you

you nailed it. ni kweli mfano ni Dubai serikali yao inaingiza $$$$$ nyingi sana kwa item moja tu ya viza lets say wanaoingia dubai kwa mwezi ni watu 100,000 kwa kila passport fee ni $100 how much do they make kwa mwaka? sema viongozi wetu wana damu ya wivu sana hawapendi watu wao wafanikiwe kila siku ni kuzibia watu
 
Umechanganya sana maandishi yako. Kiswakinge kingi mno. Kama unajua sana kingereza ungeandika kingereza mwanzo mwisho. Siyo neno moja ama sentensi moja inakuwa na lugha mbili.

Hivi kwa uandishi huu wa hovyo ushauri wako nani atauchukua?

Ndiyo maana hata watoa maoni kwenye Uzi wako ni wachache. Mm mwenyewe nimesoma aya 4 tu nikaishiwa hamu.
 
Ni kweli, inatakiwa attitude ya watu wetu wabadili kidogo. Maana unapokuwa na watu wengi wenye middle income unakuwa umepunguza pressure kwa kiasi kikubwa. Viongozi waangalie namna hizi sheria kandamizi zinavyodidimiza kila sekta.
 
Umechanganya sana maandishi yako. Kiswakinge kingi mno. Kama unajua sana kingereza ungeandika kingereza mwanzo mwisho. Siyo neno moja ama sentensi moja inakuwa na lugha mbili.

Hivi kwa uandishi huu wa hovyo ushauri wako nani atauchukua?

Ndiyo maana hata watoa maoni kwenye Uzi wako ni wachache. Mm mwenyewe nimesoma aya 4 tu nikaishiwa hamu.

Hatupimi ubora wa kitu kwa kuangalia maoni ya watu, wenye mtazamo wa namna ya hivi ni watu wanioishi enzi za kijima ktk ulimwengu wa karne ya leo ya utandawazi. watu wa dunia ya leo wanaangalia kilichokusudiwa kimefika na si namna kimekuja na kufika vipi.
 
Ushauri mzuri lakini umeshindwa kuandika kiswahili sanifu?
wata-create ndiyo nini?
Tunachongalia ni ufanisi wa utumiaji wa maneno, mda , na zao linalopatikana. Mnachokomalia , ni mazoea ambayo yanawapotezea mchapuko ulioo mkabala na tungamo ambayo huchochea uhalisa wa faida ya mtalimbo ktk maisha ya kila siku. Nafikiri umenipata kwa kuandika kiswahili sanifu.
 
Mi naona tangu hivi vimashine vya ukusanyaji kodi na utoaji risiti na sheria walizoweka ndo chanjo hata cha kufanya biashara kuzidi kuwa ngumu na mbaya kwa wafanyabiashara
 
Vimachine vinaweza kuwa vinatumika ili kuwanufaisha wahusika zaidi, badala ya vimachine visaidie.
 
Na kinachowakimbiza wafanya biashara ni pamoja na hicho kina kata mno pasent kubwa ..
Haiwezekani serikali ipate faida kubwa kuliko mwenye biashara yake ndo maana wanakimbili nchi jirani zisizokuwa na hivyo vimashine
Vimachine vinaweza kuwa vinatumika ili kuwanufaisha wahusika zaidi, badala ya vimachine visaidie.
 
Sheria za bongo kuanzia katiba na visheria uchwara vingine, mtazamo wake ni kumkandamiza mwananchi.. yaani mwananchi kwanza anaonekana adui wa serikali kwa hiyo daima serikali inatunga sheria kujilinda dhidi ya mwananchi. Sheria zote za kodi na zinginezo,hazimuoni mwannchi kama mdau muhimu wa serikali bali adui. Kutawaliwa kubaya sana kwa kweli. Miaka 58 tokea uhuru lakini viongozi wa leo bado wana mentality za kipumbavu, za kikoloni.

Mtoa mada nakupongeza kwa kuliona hilo. Tatizo kubwa ni kuwa viongozi wengi ni vi/@za sana kiasi cha kutoweza kuona fursa tunazozikosa kama nchi kwa kukumbatia sheria haramu..

Asante
 
Safari ipo, ndiyo maana inatakiwa tuandike, kusema kila mda hadi kuna kipindi kitafika hizi sheria zitawafinya wahusika wenyewe na kuamua kuzifanyia kazi ili zilete tija kwa wote.
 
Back
Top Bottom