Sheria inisaidie juu ya hili nimevumilia sana

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,663
Wanasheria Naomba msaada

Mimi ni raia nimefanya muamala kutoka kwenye line yangu ya Vodacom kwenda Bank leo ni siku ya 5 huo muamala haujafika kwenye account yangu

Nimepiga simu sana bank husika sijapata msaada Je hii kisheria imekaaje? Je naweza kuwashitaki haya makampuni?
 
1. Ukienda TCRA watakusaidia kujua muamala ulipoishia na hatua kuchukiliwa ikibidi

2. Ukienda kwa mwanasheria atakushauri cha kufanya

Chagua moja hapo
 
Kwa sisi wa mikoani TCRA ni mpaka kwenda Dar?
 
Wanasheria Naomba msaada

Mimi ni raia nimefanya muamala kutoka kwenye line yangu ya Vodacom kwenda Bank leo ni siku ya 5 huo muamala haujafika kwenye account yangu

Nimepiga simu sana bank husika sijapata msaada Je hii kisheria imekaaje? Je naweza kuwashitaki haya makampuni?
ulipiga simu katika mtandao wako wa simu na kuwaambia tatizo lako?na vipi uliangalia salio katika kauanti yako ya benki? na utawashtaki vipi benki endapo muamala hawajaupata muda mwingine ni suala la mitandao ya simu.Nakushauri nenda katika ofisi za mtandao wako wa simu na uthibitisho wa miamala uliyofanya kutoka kwenye simu kwenda benk pia usisahau kwenda na kadi ya benki au namba ya akaunti uliyohamishia pesa.
 
Kwa uzoefu wangu mdogo tatizo hapo linaweza kuwa Vodacom
Bado hawajakamilisha muamala kuingia kwenye acc ya bank

Voda customer service wamekuambiaje?
Hawa vodacom wamekuwa na mapungufu mengi siku hizi, ukipigiwa ssimu akiomba pesa, muda mfupi baadaye inakuja meseji "...ile pesa tuma kwa namba hii xxxx yyy nnn, jina litakuja Zainabu Yohana"
 
ulipiga simu katika mtandao wako wa simu na kuwaambia tatizo lako?na vipi uliangalia salio katika kauanti yako ya benki? na utawashtaki vipi benki endapo muamala hawajaupata muda mwingine ni suala la mitandao ya simu.Nakushauri nenda katika ofisi za mtandao wako wa simu na uthibitisho wa miamala uliyofanya kutoka kwenye simu kwenda benk pia usisahau kwenda na kadi ya benki au namba ya akaunti uliyohamishia pesa.
Yote haya nimefanya Voda wamelifanyia kazi pesa tayari imepokelewa bank tatizo bank ndo kuna shida pesa haionekani kwenye account
 
Hawa vodacom wamekuwa na mapungufu mengi siku hizi, ukipigiwa ssimu akiomba pesa, muda mfupi baadaye inakuja meseji "...ile pesa tuma kwa namba hii xxxx yyy nnn, jina litakuja Zainabu Yohana"
Voda kwa hili hawana shida shida ipo bank na hata leo nimetoka kugombana nao kila siku wananiambia wanalishughulikia
 
Yote haya nimefanya Voda wamelifanyia kazi pesa tayari imepokelewa bank tatizo bank ndo kuna shida pesa haionekani kwenye account
nenda kwenye Benki husika ulizia mrejesho wa tatizo wako,ikishindikana omba kuonana na Meneja uwasilishe tatizo lako ukiwa na kumbukumbu za kukamilika kwa hamisho la pesa katika akaunti yako ya Benki
 
Lishawahi kunikuta, ujinga hapo ni WA Voda, mi ilichukua kama wiki pesa ndo ikaingia, ila sasa hawa jamaa ni smart sana, unapokubali terms and conditions zao wamecover hitilafu kama hizi, kwamba zikitokea huwezi washtaki au kulipwa mpaka wao warekebishe tatizo

Shida wengi hua hatusomi terms and conditions!!! Ingekua rahisi kushtakiwa tatizo la kimtandao likitokea ungekuta Kila siku wanaburuzwa mahakamani

Kiufupi huwezi washtaki kua mpole wasiliana nao pesa itaingia tu
 
Yote haya nimefanya Voda wamelifanyia kazi pesa tayari imepokelewa bank tatizo bank ndo kuna shida pesa haionekani kwenye account
Kuna siku nilituma pesa alafu huko nilikotuma haijafika, baada kuwapigia watu wa mtandao wakasema pesa yangu bado iko hewani,nikaawambia "ole wenu Kunguru wapite nayo huko hewani mtanijua Mimi ni Nani", kesho yake ikarudishwa kwenye simu yangu!! Mitandao muda mwingine inakwamisha sana, alafu ndiyo kiela chako Cha ngama alafu eti kina bounce!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wamenilostisha sana hawa bank basi tu
 
Wanasheria Naomba msaada

Mimi ni raia nimefanya muamala kutoka kwenye line yangu ya Vodacom kwenda Bank leo ni siku ya 5 huo muamala haujafika kwenye account yangu

Nimepiga simu sana bank husika sijapata msaada Je hii kisheria imekaaje? Je naweza kuwashitaki haya makampuni?
Unaweza kuwashtaki ila huwezi kuwashinda wakati hata hwa kampuni ya simu na bank hujaenda.Kesi za madai huanza na michakato ya kutatua despute armicably.Ikishundikana ndo unafile Suit.
 
Back
Top Bottom