Zimepita siku karibu mwezi sijamsikia spika wa bunge letu kusema lolote kuhusu nafasi za wabunge wetu waliyochukuliwa kwa mapenzi ya mungu. Na sijasikia hata sisi wananchi ambao tunalipa kodi na kuwalipa wabunge kusikia chochote kuzungumzia kuhusu nafasi zilizo wazi kwa waliochukuliwa na muumba.
Kwani sheria inasemaje kuhusu mbunge anapofariki mbona hakujaitishwa uchaguzi wa kujaza nafasi zao??. Halafu inakuwaje mbunge ambaye ameingia bungeni kwa tiketi ya chama kuendelea kuwa bungeni??wakati chama kilichomteua imemfuta uanachanma wake?
Inamaana kwasasa kuwa mbunge wa Tanzania spika ndie anayesema kuwa wewe ndiye mbunge, bila kuwa na chama cha siasa?.
Watanzania wenzangu ebu tuamke tuache kufuatilia umbeya na ushabiki usiyofaa huku pesa zetu zikiliwa na baadhi ya watu. Tunatakiwa kusimama imara na kujua pesa zetu zinatumikaje.
Usilalamike kuwa sukari inapanda wakati pesa ambayo ingepunguza bei ya sukari unaichia analipwa mbunge, ambaye hakustahili kuwa bungeni. WATANZANIA AMKENI NA KUJUA HAKI ZETU.
Spika wa bunge anaendesha bunge vibaya inabidi tumwondoe kwasababu tunaoumia ni sisi wananchi. Tunadharau vitu bila kufuatilia lkn ndiyo vitu zinazosababisha maisha yetu kuwa magumu.
Inakuwaje spika ambaye tumemchagua kuwa mbunge na kuchaguliwa na wabunge wenzake ambao ndio wawakilishi wetu awe na POWER kuliko sisi tuliowachagua na kumweka madarakani.
Watanzania bila kuwa pmj na kushirikiana kuwaondoa hawa viongozi walafi, tutateseka sana. Watu wanauwawa/ wanatekwa na tunawajua watekaji na wauaji tumebaki kusema tumwachie mungu. MUNGU ATAKUSAIDIAJE PASIPO WEWE KUJISAIDIA?.
Tukatae uonezi bila kujali dini, kabila wala rangi. Leo tunalaani mauaji ya Floyd aliyeuwawa huko marekani wakati hapa kwetu ndio vinara wa mauaji, kuna mauaji mabaya hapa kwetu kuliko hata ya Floyd.
Sisi watanzania tunamchinja mtanzania mwenzetu bila kujali utu wake kwasababu ya itikadi ya vyama kweli???. Unamkata mapanga mtanzania mwenzako kwa tamaa ya madaraka ambayo utayaacha hapa hapa duniani. Jiulize je hii ni akili. Wewe polisi unampiga Mtaanzania mwenzako mpaka unamuua bila sababu hivi unategemea kupokelewa huko mbinguni?.
WATANZANIA WENZANGU TUNATAKIWA TUBADILIKE KWA KUJIFUNZA KWA HAYA YANAYOENDELEA MAREKANI.
Sisi ni ndugu tusivurugwe na hawa wachache wenye tamaa ya mali.