Habari ya usiku viongozi? Samahani, naomba kujua utaratibu kisheria uko vp kwa mwanaume aliyeachana na mwanamke huku wakiwa wamezaa wore. I mean sheria inasemaje kuhusu matunzo and specifically kwa watoto (gharama). Mimi ni mtumishi niko kwenye NGO moja hapa kwetu (Tanzania). Note: Nina watoto watatu. Ahsanteni!!