Sheria inasemaje: Kubambikiwa makosa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria inasemaje: Kubambikiwa makosa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by parabeva, Apr 24, 2012.

 1. p

  parabeva Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sheria inasemaje kama mpelelezi kabadilisha exhibit,na kuweka ya kwao,na kukulazimisha ukubali ni ya kwako?Mahakamani mtu anaweza akatumia sauti aliyerekodi akitishiwa kituo cha polisi kama ushahidi?
   
 2. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Kama umebambikiwa mashtaka au kulazimishwa, ukifika mahakamani una nafasi ya kukataa ulichosema polisi ili kuweka kumbukumbu sawa
   
Loading...