Sheria inasemaje akifariki mgombea?

Sheria inasemaje akifariki mgombea?

lembu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Posts
19,360
Reaction score
25,456
Hivi akifariki mgombea wakati wa kampeni sheria inasemaje wadau?
Chama kina ruksa ya kumuweka mwingine au ndio imetoka?
Akifariki mgombea urais?
Akifariki mgombea ubunge?
Akifariki mgombea udiwani?
 
Mnatamani mtu afe ili mpate kupumua? Mtabili wenu aliwadanganya Maana anayejua kifo ni MUNGU tu
 
Una mpango wa kufa? Una mpango wa kumwua mgombea?
mimi swali langu ni je, mgombea akifa wakati wa kampeini na chama chake kikaruhusiwa kuweka mgombea mwingine, vyama vingine vina ruhusa ya kubadili pia? Kuna chama kinatamani kubadili mgombea ndiyo maana ninauliza.
 
Jibu HOJA HAPO
 
Muda Wa kampeni huongezwa,kumbuka yule makamu Wa rais hayati OMARY Juma,alikuwa mgombea mwenza Wa Rais Mkapa

Mwongo.
Nakumbuka alifariki mwezi wa 7 mwaka huo muda mfupi baada ya kutoka kwenye viwanya vya mwl nyere(saba saba)
 
Kuna mgombea wa CCM anakaribia kufa kwa presha?
 
Una mpango wa kufa? Una mpango wa kumwua mgombea?
mimi swali langu ni je, mgombea akifa wakati wa kampeini na chama chake kikaruhusiwa kuweka mgombea mwingine, vyama vingine vina ruhusa ya kubadili pia? Kuna chama kinatamani kubadili mgombea ndiyo maana ninauliza.

Amefariki Mohamed Mtoi few hours later
 
Mtoa post ameuliza swali zuri sana.hata mm nimeuliza swali kama hilo kabla sijakutana na same qn.tusiwe watu wapenda mizaa.tulieni tuelimishane.mfano maelezo yamejaa page 2 bila kujibu swali.Wana mabadiliko hawendi hivyo...
 
Mtoa post inabidi utafutwe utueleze mtoi wetu umempeleka wapi.
 
Back
Top Bottom