‘Sheria hairuhusu vileo kuingizwa Pemba’ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

‘Sheria hairuhusu vileo kuingizwa Pemba’

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pepombili, Aug 26, 2011.

1. Pepombili

Pepombili JF-Expert Member

#1
Aug 26, 2011
Joined: Dec 20, 2010
Messages: 439
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, Hassan Nasir amesema Sheria ya Kupiga Marufuku Kuingiza Vinywaji vyenye Kilevi katika kisiwa cha Pemba ya mwaka 1928 bado ipo na haijafutwa.
Kamanda Nassir alisema hayo wakati alipokuwa akizungumza na Waislamu waliokuwa wakitishia kufanya maandamano kupiga kuwepo kwa ghala la kuhifadhi vinywaji vyenye kilevi huko Tibirinzi.
Nassiri alisema sheria hiyo inapiga marufuku watu binafsi kuingiza na kuuza vinywaji hivyo katika kisiwa cha Pemba isipokuwa kwa taasisi za ulinzi tu ikiwemo Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika makambi yao.
“Sheria ya Kupiga Marufuku Kuingiza Kinywaji chenye Kilevi kisiwani Pemba ipo na haijafutwa…. ni marufuku kuingiza kinywaji hicho isipokuwa kwa taasisi za ulinzi tu na kinywaji hicho kipatikane katika kambi za jeshi,” alisema.
Aliwataka Waislamu waliokuwa wakitishia kufanya maandamano kuwa watulivu wakati shauri lao hilo likifanyiwa kazi na taaasi husika ikiwemo vyombo vya ulinzi.

Safi sana wananchi wa pemba hakikisheni munalinda na kusimamia hio sheria

2. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#2
Aug 26, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
wacha watu waongeze pato la taifa pambaaaaaf senu nyie

3. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#3
Aug 27, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,323
Likes Received: 22,136
Trophy Points: 280

kuna ulanzi na gongo vyote vyatengenezwa kutoka kwenye karafuu ni noma

4. F

FJM JF-Expert Member

#4
Aug 27, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 8,088
Likes Received: 90
Trophy Points: 145
Wakaangalie kwenye takwimu za VAT (Zanzibar). Makato yatokanayo na mauzo ya pombe ndiyo yanaongoza kwenye mapato ya VAT!

5. Globu

Globu JF-Expert Member

#5
Aug 27, 2011
Joined: Jan 12, 2011
Messages: 7,975
Likes Received: 175
Trophy Points: 160

Kuwa mstaarabu kidogo.

6. Globu

Globu JF-Expert Member

#6
Aug 27, 2011
Joined: Jan 12, 2011
Messages: 7,975
Likes Received: 175
Trophy Points: 160

Sio kweli umedanganya wana JF. Tuwekee takwimu hapa. Tuhakikishe.

7. nguvumali

nguvumali JF Bronze Member

#7
Aug 27, 2011
Joined: Sep 3, 2009
Messages: 4,864
Likes Received: 143
Trophy Points: 160
wanafiki wakubwa hao Wapemba na sheria zao kandamizi,. Uislam hauishii kwenye vilevi, wanafikiri kirahisi sana, na huenda wao wenyewe wanakunywa sana pombe ya mnazi, wivu umewajaa labda hawana fedha ya kununulia Pombe za madukani, Ujinga, ujinga , ujinga.

8. MAMMAMIA

MAMMAMIA JF-Expert Member

#8
Aug 27, 2011
Joined: Feb 26, 2008
Messages: 3,822
Likes Received: 23
Trophy Points: 0
Ningelifurahi kusikia maneno kama haya yakisemwa na Mpemba angalau mmoja, lakini kusemwa na mtu wa nje....mmmmmhhh!

9. jogi

jogi JF-Expert Member

#9
Aug 27, 2011
Joined: Sep 25, 2010
Messages: 19,335
Likes Received: 12,800
Trophy Points: 280
wakataa pombe huku mgao utokanao na kodi ya kilevi i.e konyagi, lager n.k wanachukua na kukomaa mgao uongezwe, naona kama wana matatizo mengi hivi, mara kigezo cha uislamu mara uzanzibar, naona wanataka kwenda peponi bila kuishinda dhambi, nawashauri wapambane kwani kwa mujibu wa vitabu shetani tunaye duniani, alitimuliwa mbinguni, na znz ni sehemu ya dunia, kama vipi wahame wenyewe.

Loading...