mgheni amani
Member
- Jun 21, 2011
- 29
- 3
mzee wa watu Milinga hata viatu hamja kumbuka kumnunulia
* It is fascinationg the ruling party for the case of it being valuable and respected they go back to embrace TANU and trying to Correct their Meany Demenor by Embracing Tanu the Party which was run perfectly Under Nyerere and Rashid Mfaume Kawawa with Moses Nnauye as Katibu Mwenezi!!! Do U see the PIC?
The Party in Power has power of Using Artists; Government Places such as Mnazi Mmoja, POWER Management and POSHO
If people behaved like governments, you'd call the cops as you see all members of ruling Party in this celebrations.
Politicians are like diapers. They both need changing regularly and for the same reason... BUT CCM POLITICIANS are there for LIFE.
Soma vizuri we mvivu, ustafsiri neno mojamoja. Jamaa kaandika bila koma we umerukia bila kukifikirisha kichwa, msome vizuri utamtambua achoandika. Au nikusaidie sehemu hiyo. "........umeme hakuna, njaa imetaharamaki........."
i
Najiuliza maswali..Unafanya 'utani' kwasababu umeshiba na unahisi yanayowaumiza walio wengi nchini hayakuhusu au umetumwa kubadili mkusanyiko wa mawazo yanayoweza kuleta mabadiliko nchini? Kwa vyovyote iwavyo unaenda kinyume na walio wengi na adhabu yako Itakua Kali. Angalia historia ya yaliyotokea Misri naamini watu kama wewe waliokua wanayafanya unayoyafanya wewe hapa JF watakua wanahaha hivi sasa.
Kibunango, I have always believed that you were an intelligent person but in the wrong party!! Your sarcasm tells it all.
Hii picha moja inatoa tafsiri zote za CCM ya sasa na mtazamo/mwelekeo katika maisha ya 'Wananchi' kwa ujumla.
Wajumbe wa nyumba kumi na viongozi wa mashina, ndiyo vipande halisi ya wana-CCM walio karibu sana na wananchi wa kawaida, kuliko wale 'viongozi' wenye majina makubwa kama Kikwete, Msekwa, Mukama, Nape, Chiligati, Kinana na wengineo wa aina hiyo.
Hawa viongozi wa mashina ndiyo sisi sote, hawa ni kioo chetu, hawa ndiyo tunaowaona na kuwajua. Hawa ndiyo wale wasioingia Kamati Kuu au NEC au Mkutano Mkuu. Hawa ndiyo wale hawapati hata maji ya kunywa kwenye mikutano yao. Hawa ndiyo wale tunapanda nao daladala, tunakula nao ngisi na kauzu, tunagawana nao umasikini. Hawa ndiyo sisi.
Na kwa kudhihirisha hilo na kuwa CCM iko mbali na wananchi, picha hiyo hapo juu inasema yote.
Wakuu wa CCM wameona kuwa jukwaa moja halitoshi, litawaweka viongozi wakuu karibu sana na hawa wa mashina. Wakajenga jukwaa jingine juu ya lile la awali ili wawe mbali zaidi nao.
Wakuu wa CCM wameona kuwa kukaa kwenye viti, kutawafanya viongozi wa shina waonekane wako juu kama sawa sana na hawa wakuu. Wakatoa viti na kuwakalisha chini ili wawe chini zaidi yao.
Wakuu wa CCM wameona kuwa kuvaa njano na kijani, kutawaweka hawa wa mashina wawe kama walivyovaa hao wakuu, ni hiyo ni kama kufanana. Wakawavua viatu ili waonekane tofauti zaidi.
Wakuu wa CCM wanakuna vitambi na kulegeza sarawili kwa lishe kamili, wakati wale wa mashina wanashika tama kwa lishe pungufu.
Na kila baada ya kauli mbiu mbili au tatu, viongozi wakuu wanapinga funda la maji baridi yaliyojaa bwelele meza kuu, wakati wa mashina wanameza mate kulainisha midomo iliyokauka kwa kushangilia..........KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, .........KIKWETE JUU, JUU, JUU ZAIDI.......!!!
CCM ni zaidi ya uijuavyo.