Sherehe za TANU: Rais Kikwete akutana na mabalozi wa nyumba kumi na viongozi wa mashina na kata

* It is fascinationg the ruling party for the case of it being valuable and respected they go back to embrace TANU and trying to Correct their Meany Demenor by Embracing Tanu the Party which was run perfectly Under Nyerere and Rashid Mfaume Kawawa with Moses Nnauye as Katibu Mwenezi!!! Do U see the PIC?

The Party in Power has power of Using Artists; Government Places such as Mnazi Mmoja, POWER Management and POSHO

If people behaved like governments, you'd call the cops as you see all members of ruling Party in this celebrations.

Politicians are like diapers. They both need changing regularly and for the same reason... BUT CCM POLITICIANS are there for LIFE.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wajumbe wa nyumba kumi na viongozi wa mashina na matawi ya CCM katika wilaya zote za mkoa wa Dar es Salaam, mchana, ubungo Plaza ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya kuzaliwa TANU na madhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.

Hii picha moja inatoa tafsiri zote za CCM ya sasa na mtazamo/mwelekeo katika maisha ya 'Wananchi' kwa ujumla.

Wajumbe wa nyumba kumi na viongozi wa mashina, ndiyo vipande halisi ya wana-CCM walio karibu sana na wananchi wa kawaida, kuliko wale 'viongozi' wenye majina makubwa kama Kikwete, Msekwa, Mukama, Nape, Chiligati, Kinana na wengineo wa aina hiyo.

Hawa viongozi wa mashina ndiyo sisi sote, hawa ni kioo chetu, hawa ndiyo tunaowaona na kuwajua. Hawa ndiyo wale wasioingia Kamati Kuu au NEC au Mkutano Mkuu. Hawa ndiyo wale hawapati hata maji ya kunywa kwenye mikutano yao. Hawa ndiyo wale tunapanda nao daladala, tunakula nao ngisi na kauzu, tunagawana nao umasikini. Hawa ndiyo sisi.

Na kwa kudhihirisha hilo na kuwa CCM iko mbali na wananchi, picha hiyo hapo juu inasema yote.

Wakuu wa CCM wameona kuwa jukwaa moja halitoshi, litawaweka viongozi wakuu karibu sana na hawa wa mashina. Wakajenga jukwaa jingine juu ya lile la awali ili wawe mbali zaidi nao.

Wakuu wa CCM wameona kuwa kukaa kwenye viti, kutawafanya viongozi wa shina waonekane wako juu kama sawa sana na hawa wakuu. Wakatoa viti na kuwakalisha chini ili wawe chini zaidi yao.

Wakuu wa CCM wameona kuwa kuvaa njano na kijani, kutawaweka hawa wa mashina wawe kama walivyovaa hao wakuu, ni hiyo ni kama kufanana. Wakawavua viatu ili waonekane tofauti zaidi.

Wakuu wa CCM wanakuna vitambi na kulegeza sarawili kwa lishe kamili, wakati wale wa mashina wanashika tama kwa lishe pungufu.

Na kila baada ya kauli mbiu mbili au tatu, viongozi wakuu wanapinga funda la maji baridi yaliyojaa bwelele meza kuu, wakati wa mashina wanameza mate kulainisha midomo iliyokauka kwa kushangilia..........KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, .........KIKWETE JUU, JUU, JUU ZAIDI.......!!!

CCM ni zaidi ya uijuavyo.
 
chama cha mapinduzi jana usiku walikesha kukumbuka kuzaliwa kwa tanu miaka 57 iliyopita ili kurejesha utendaji kazi wa chama, mwenyekiti wa chama cha mapinduzi aliwahimiza watendaji wa chama hicho kufanya kazi kwa kujitolea kukijenga chama chao, kwa kweli walifanikiwa kwani watu walikuwa wengi na hamasa ilikuwa juu. kidumu chama cha mapinduzi.
 
Nape anaonekana powerful zaidi ya Viongozi wote serikalini na kwenye chama cha mapinduzi ... yuko kila mahali

Kwenye kusakafisha Uwanja wa ndege na kupanda majani, Dodoma University kuangalia nyufa, kuchunguza Magazeti yote Nchini n.k

Wapo wapi hao Wahusika???
 
Soma vizuri we mvivu, ustafsiri neno mojamoja. Jamaa kaandika bila koma we umerukia bila kukifikirisha kichwa, msome vizuri utamtambua achoandika. Au nikusaidie sehemu hiyo. "........umeme hakuna, njaa imetaharamaki........."

i
Najiuliza maswali..Unafanya 'utani' kwasababu umeshiba na unahisi yanayowaumiza walio wengi nchini hayakuhusu au umetumwa kubadili mkusanyiko wa mawazo yanayoweza kuleta mabadiliko nchini? Kwa vyovyote iwavyo unaenda kinyume na walio wengi na adhabu yako Itakua Kali. Angalia historia ya yaliyotokea Misri naamini watu kama wewe waliokua wanayafanya unayoyafanya wewe hapa JF watakua wanahaha hivi sasa.

Kibunango, I have always believed that you were an intelligent person but in the wrong party!! Your sarcasm tells it all.
fail.jpg
 
Ama kweli CCM ina hali mbaya sasa, yani watakuwa wanasherekea kuzaliwa kwa TANU na Kuzaliwa Kwa CCM? Hapa tena Kikwete kadanganywa kuwa hii ndio mbinu muhafaka badala ya kufukuza Mafisadi wewe wape pilau na music watu wa Dar wata sahau tu Mzee wana njaa hawa hawajala wengine wana njaa ya siku mbili.

Hapa wamebuni ila wajue wanaoijuwa hiyo TANU na wanakubaliana na Propaganda za kuwa CCM inafuata nyendo za TANU wote wapo CCM na ni wanachama wa CCM kufa, kwahiyo wange jikita katika kubuni mbinu za kuvutia watu ambao hawaitaki CCM siyo kubuni mbinu za kufurahisha wanachama wa CCM; Sijui kwanini CCM inalazimisha kutumia mbinu za kizamani ambazo watanzania wa Leo hawawezi kuzielewa na wawezi kunasa hata kidogo! Ugomvi wa CCM na watanzania ni kumsahau maskini na kushindwa kulinda rasilimali za Taifa kama wange amka na kuanza kwa kasi katika angle hizo hawaitaji kushinda kwa waganga wa kienyeji hata kutafuta mchawi.
 
Hii picha moja inatoa tafsiri zote za CCM ya sasa na mtazamo/mwelekeo katika maisha ya 'Wananchi' kwa ujumla.

Wajumbe wa nyumba kumi na viongozi wa mashina, ndiyo vipande halisi ya wana-CCM walio karibu sana na wananchi wa kawaida, kuliko wale 'viongozi' wenye majina makubwa kama Kikwete, Msekwa, Mukama, Nape, Chiligati, Kinana na wengineo wa aina hiyo.

Hawa viongozi wa mashina ndiyo sisi sote, hawa ni kioo chetu, hawa ndiyo tunaowaona na kuwajua. Hawa ndiyo wale wasioingia Kamati Kuu au NEC au Mkutano Mkuu. Hawa ndiyo wale hawapati hata maji ya kunywa kwenye mikutano yao. Hawa ndiyo wale tunapanda nao daladala, tunakula nao ngisi na kauzu, tunagawana nao umasikini. Hawa ndiyo sisi.

Na kwa kudhihirisha hilo na kuwa CCM iko mbali na wananchi, picha hiyo hapo juu inasema yote.

Wakuu wa CCM wameona kuwa jukwaa moja halitoshi, litawaweka viongozi wakuu karibu sana na hawa wa mashina. Wakajenga jukwaa jingine juu ya lile la awali ili wawe mbali zaidi nao.

Wakuu wa CCM wameona kuwa kukaa kwenye viti, kutawafanya viongozi wa shina waonekane wako juu kama sawa sana na hawa wakuu. Wakatoa viti na kuwakalisha chini ili wawe chini zaidi yao.

Wakuu wa CCM wameona kuwa kuvaa njano na kijani, kutawaweka hawa wa mashina wawe kama walivyovaa hao wakuu, ni hiyo ni kama kufanana. Wakawavua viatu ili waonekane tofauti zaidi.

Wakuu wa CCM wanakuna vitambi na kulegeza sarawili kwa lishe kamili, wakati wale wa mashina wanashika tama kwa lishe pungufu.

Na kila baada ya kauli mbiu mbili au tatu, viongozi wakuu wanapinga funda la maji baridi yaliyojaa bwelele meza kuu, wakati wa mashina wanameza mate kulainisha midomo iliyokauka kwa kushangilia..........KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, .........KIKWETE JUU, JUU, JUU ZAIDI.......!!!

CCM ni zaidi ya uijuavyo.

Wanajuwa Kikwete hapendwi kwahiyo waliwavuwa viatu ili mtu hasije akampiga na viatu huoni huyo askali hapo mbele ya meza kuweka ulinzi maana hata hao wajumbe hawaamini hata kidogo.
 
Kikwete akihubiri maadhimisho ya TANU huku watu wamekalishwa chini kama enzi za ujima.

H.JPG

Mafanikio mengine ya TANU na CCM ya kukaa kaa chini...
watoto+chini.jpg

Mafanikio zaidi....
Upungufu+wa+vitanda+vya+kulala+hospitali+ya+Mwananyamala+7+Oktoba+2008[1].JPG

Mafanikio mengine zaidi

.................................
images

Darasa haujulikani upi mlango lipi dirisha, mwl akiuliza show the window au open the door sijui kama somo litaeleweka.
 
Hii picha moja inatoa tafsiri zote za CCM ya sasa na mtazamo/mwelekeo katika maisha ya 'Wananchi' kwa ujumla.

Wajumbe wa nyumba kumi na viongozi wa mashina, ndiyo vipande halisi ya wana-CCM walio karibu sana na wananchi wa kawaida, kuliko wale 'viongozi' wenye majina makubwa kama Kikwete, Msekwa, Mukama, Nape, Chiligati, Kinana na wengineo wa aina hiyo.

Hawa viongozi wa mashina ndiyo sisi sote, hawa ni kioo chetu, hawa ndiyo tunaowaona na kuwajua. Hawa ndiyo wale wasioingia Kamati Kuu au NEC au Mkutano Mkuu. Hawa ndiyo wale hawapati hata maji ya kunywa kwenye mikutano yao. Hawa ndiyo wale tunapanda nao daladala, tunakula nao ngisi na kauzu, tunagawana nao umasikini. Hawa ndiyo sisi.

Na kwa kudhihirisha hilo na kuwa CCM iko mbali na wananchi, picha hiyo hapo juu inasema yote.

Wakuu wa CCM wameona kuwa jukwaa moja halitoshi, litawaweka viongozi wakuu karibu sana na hawa wa mashina. Wakajenga jukwaa jingine juu ya lile la awali ili wawe mbali zaidi nao.

Wakuu wa CCM wameona kuwa kukaa kwenye viti, kutawafanya viongozi wa shina waonekane wako juu kama sawa sana na hawa wakuu. Wakatoa viti na kuwakalisha chini ili wawe chini zaidi yao.

Wakuu wa CCM wameona kuwa kuvaa njano na kijani, kutawaweka hawa wa mashina wawe kama walivyovaa hao wakuu, ni hiyo ni kama kufanana. Wakawavua viatu ili waonekane tofauti zaidi.

Wakuu wa CCM wanakuna vitambi na kulegeza sarawili kwa lishe kamili, wakati wale wa mashina wanashika tama kwa lishe pungufu.

Na kila baada ya kauli mbiu mbili au tatu, viongozi wakuu wanapinga funda la maji baridi yaliyojaa bwelele meza kuu, wakati wa mashina wanameza mate kulainisha midomo iliyokauka kwa kushangilia..........KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, .........KIKWETE JUU, JUU, JUU ZAIDI.......!!!

CCM ni zaidi ya uijuavyo.

kwa kweli ccm imenishangaza sana................. na kwa kweli nimeudhika jinsi watu wazima walivyodhalilishwa!!................. pamoja na cream ya ccm yote kuogelea kwenye mashangingi ya bei mbaya kwa kodi zao hao wazee waliokalishwa chini na kuvuliwa viatu, wameshindwa hata kuwakodishia hata viti vya plastic??.................. kwa kweli hii ni dharau................. asipowajibika mtu hapo nitakata tamaa kabisa na kupona kwa ccm....................
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom