Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,307
dogo tutafanyaje?yale majamaa yamegoma kungoka.alafu wanatishia eti tukimwaga ugali wanamwaga ugali.mh sijui tufanyeje?
Marehemu TANU akifufuka leo atamshangaa sana mtoto wake alivyobadili dini na kuitwa Magamba.
Naona Nape ndo kaonekana mara nyingi sana, ndo Rais ajaye nini? Au ndo wewe mkuu uliyepost.
Kijana:Je! Mzee wafahamu Yanga wameingia nusu fainali kombe la kagame kwa njia ya matuta baada ya dk 90 na nyongeza? je waonaje wale triplet tutumie njia ya matuta baada ya siku 90 tu?
Mzee: Hapana bwamdogo, naona tuvute nao pumzi mdogo mdogo na ikibidi tuongeze siku30.
Inatia hasira sana kuona watu ambao hawayaenzi yale yaliokua ya tanu kwamba ni chama cha watu na watu wako vijijini wanakikumbukia town kisanii...hivi hawa wanaokaa chini jamani na kuvalishwa t-shirt na kofia ni watanzania wa wapi? hizi t-shirt na posho zinawapa umeme? watoto wao watakaopunguzwa kazi kwasababu ya mgao watawagaia nini? eti wanaserebuka...Nashindwa kuelewa ujinga uliopo utaondolewaje maana wajinga ndio waliwao...Nahisi inabidi kuweka picha hizi na kurekodi kila sura kwa faida ya vizazi vijavyo vitakapoamua kufanyia kazi waliowaletea udumavu wa maisha katika nchi hii yenye neema.duh watz hatuna vipaumbele , mnafanya birthday ya babu aliyeshafariki , mnatumia fedha nyingi kwa tukio lisilo na manufaa wananchi wanaokufa kwa kukosa huduma za afya, ajira hakuna umeme hakuna njaa ndiyo imetamalaki maeneo kedekede hivi rais anapata wapi ujasiri huu ?
iHebu fananua hapo kwenye bold, na Jipongeze hapo kwenye red!
Mtu mwenyewe kavaa cheni ya mkono HANA SAA WALA PETE!!!!!Ina maana huyu jamaa inaonekana muda kwake ni tatizo. Sijui akiwa na appointment na M/kiti wake huwa anatumia saa gani! Kuhusu kutovaa pete yawezekana hajao au kwake pete siyo muhimu! Nape hana jipya.Kinachoonekana hapa kwenye picha ni kuwa atakuwa anamjaza Kiwete maneno ya umbeya na uzushi mtupu.CCM lazima wawe makini na huyu Domokaya(mpaukaji) vinginavyo atazidi kukigawa na hatimaye kukisambaratisha chama chake.
Kunatatizo! Kunatatizo! angalia viongozi wanaowakilisha wanachama au wapiga kura tunaowategemea walivyokalishwa chini! Ingekuwa mimi rais ningegoma mpaka waletewe viti hata mabenchi basi kama ni wengi! KUNA TATIZO jamani tumsaidie rais wetu - Miaka hamsini bado tunashabikia watu wenye heshima zao kama hawa kukaa chini? Jamani angalieni CHINA au DPR au USA au Britain jinsi chama kinavyo heshimu watendaji wake! KUNA TATIZO!
Hebu fananua hapo kwenye bold, na Jipongeze hapo kwenye red!
Wote hali ngumu. Wanawaza nini?