jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,155
- 29,677
Tarehe 26/4/2017 Tanzania itaadhimisha miaka 53 ya muungano wa kipekee duniani ambao umedumu kuliko miungano mingi.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni ...miaka 53 ya Muungano; Tuulinde na Kuuimarisha, Tupige Vita Dawa za Kulevya na Kufanya Kazi kwa Bidii.
Kulingana na kauli mbiu hii na yale yaliyojiri baada ya Makonda kuwataja hadharani wahusika wa madawa ya kulevya kiasi cha kuandamwa sana ili ang'olewe lakini Magufuli akatoa msimamo thabiti.
Je Mheshimiw Rais atakuja na cheche gani dhidi ya wauza ngada mashuhuri?
Suala la madawa ya kulevya limeathiri pande zote za muungano tena inawezekana kwa kiasi kikubwa kwa upande wa Zanzibar.